Boniface Jackob, jiandae kisaikolojia, trust ni kwa Mungu pekee, SI wanadamu

Boniface Jackob, jiandae kisaikolojia, trust ni kwa Mungu pekee, SI wanadamu

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam ndugu,

Moyo wa mtu ni kichaka,

Na duniani hapa, wanadamu wote hutenda DHAMBI, toba ndio kitu pekee Cha kuharakisha kufanya ikitokea umeteleza.

Ninaona unajaribu Kurudisha watu warudi kumuongelea kiongozi aliyeshindwa uchaguzi na kustaafu.

Yaliyo moyoni mwa role model wako, ummekiri pia huyajui.

Muhimu hapo ni kujiandaa kiakili kwa lolote litakalotokea soon.

Waheshimu wanadamu lakini usiwape %kubwa kuwaamini.

Always trust God in Jesus name🙏
 
Mbowe haendi CHAUMA, mwacheni mzee apumzike
Alishasema kabla ya uchaguzi,

Ana nguvu za kutosha kkuendellea,

Sasa yamepita mawimbi mengi na chama kikaendelea kubaki salama.

Na hili litapita tu ikiwa litatokea.
 
Siku Zote mtu anyejadili siasa most of the time ni mtu mjinga mtu mwenye mambo mengi hata asiye na mambo mengi hawezi kukaa kujadili siasa ni ujinga kujadili siasa
 
Subirini aende basi ndio mlete hoja zenu, hivi Mbowe aliyekuwa KUB amesahau kitu gani hadi mumlishe maneno?
Hivi kweli Mbowe ni Mtu wa kukaa kimya na kushindwa kuunga mkono juhudi za Lissu na Heche??


Kwa jinsi ilivyo Chadema kwa Sasa nimeamini Nchi hii hakuna upinzani hata kwa dakika moja mbele!

Watu wapo kwa ajili ya ulaji,

Fighting spirit ya pamoja haupo!
 
Kwanini apumzike baada ya kushindwa kama kweli ana nia ya dhadi???


Halafu kitu ambacho watu hawaelewi Chadema ni Chama Cha Wachaga/Familia

Bob MAkani na Mbowe wote walikuwa wanafanya kazi BOT Chini ya Mtei,

Mtemi aliwatoa BOT kusimamia Chama Cha Familia halafu ninyi mnakurupuka TU from no where mnamnyanganya Uwenyekiti,

Bure kabisa!
 
Back
Top Bottom