Namsaidia ndugu Boniface atizame mbele,Unataka kusema Nini?
Ni swali zuri.Unataka kusema Nini?
Nimemshauri focus yake irudi kumtizama mwenyekiti aliye gerezani kwa kesi ya uhaini wa kutengezewa!Kuhamia mboga mboga alishawakatalia labda mmroge
Boni ana akili nyingi sana, si wa kuhitaji kukumbushwa kufikiriaNamsaidia ndugu Boniface atizame mbele,
Kamwe asigeuke nyuma akawa nguzo ya chumvi.
Anajaribu kumsemea Mbowe,Unataka kusema Nini?
Nimemshauri focus yake irudi kumtizama mwenyekiti aliye gerezani kwa kesi ya uhaini wa kutengezewa!
Hakika asijaribu kumsemasema Mbowe akidhani yupo nae!Nimemshauri focus yake irudi kumtizama mwenyekiti aliye gerezani kwa kesi ya uhaini wa kutengezewa!
Subirini aende basi ndio mlete hoja zenu, hivi Mbowe aliyekuwa KUB amesahau kitu gani hadi mumlishe maneno?Anajaribu kumsemea Mbowe,
Lakini Mbowe anaenda Chauma!
Ndiyo maana ametahadharisha!
Alishasema kabla ya uchaguzi,Mbowe haendi CHAUMA, mwacheni mzee apumzike
Wana uchungu saana na hela alizokulaKuhamia mboga mboga alishawakatalia labda mmroge
Hivi kweli Mbowe ni Mtu wa kukaa kimya na kushindwa kuunga mkono juhudi za Lissu na Heche??Subirini aende basi ndio mlete hoja zenu, hivi Mbowe aliyekuwa KUB amesahau kitu gani hadi mumlishe maneno?
Nia hapo ni Nini,Subirini aende basi ndio mlete hoja zenu, hivi Mbowe aliyekuwa KUB amesahau kitu gani hadi mumlishe maneno?