Boniface Jacob: Abdul Nondo kapatikana, yupo Mahututi hajiwezi kwa lolote, hata kuongea ni shida

Watateka,kutesa na hata kuua wangapi?
Lakini, hebu kwanza:

Hivi lengo au malengo ya utekaji huu hasa ni nini, kuna anaye juwa?

Hawa wanao tekwa, kuna mambo gani yanayo wafanya watekwe? Hadi hii leo sijui lengo la kumteka yule mzee wa CHADEMA, mzee Kibao, hadi kuamriwa aondolewe uhai moja kwa moja!

Kama hawa wanao tekwa wanayo makosa; kwa nini wasikamatwe tu kwa taratibu zilizopo kwa kuwakamata watu wanao hisiwa kufanya makosa?
Kwa nini wauawe, au wateswe?

Hivi huko serikalini kuna watu wa aina gani safari hii
 
Huyu dogo alimkosoa Mchengerwa kulea Twitter X
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…