sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Ukiona hakuna haliyekamatwa kwa matukio yote hayo jua kuwa hakuna wa kujikamata.Lakini, hebu kwanza:
Hivi lengo au malengo ya utekaji huu hasa ni nini, kuna anaye juwa?
Hawa wanao tekwa, kuna mambo gani yanayo wafanya watekwe? Hadi hii leo sijui lengo la kumteka yule mzee wa CHADEMA, mzee Kibao, hadi kuamriwa aondolewe uhai moja kwa moja!
Kama hawa wanao tekwa wanayo makosa; kwa nini wasikamatwe tu kwa taratibu zilizopo kwa kuwakamata watu wanao hisiwa kufanya makosa?
Kwa nini wauawe, au wateswe?
Hivi huko serikalini kuna watu wa aina gani safari hii