Numero Uno
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 653
- 1,421
Boniface Jacob amekuwa kimya kabla ya kuanza kwa uchaguzi,sababu ya yeye kukamatwa mi nini?
Huyu ndiye master mind ya vikundi vilivyoanzisha vurugu Kimara Kibo, Tarime, Tunduma na Mbeya.Boniface Jacob amekuwa kimya kabla ya kuanza kwa uchaguzi,sababu ya yeye kukamatwa mi nini?
Sina chuki "gentleman"!Acha chuki "gentleman"!
Wakaeleze niniHao ndiyo wachochezi wenyewe,wacha wakaeleze vizuri kenge hao