Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Yaweza kuwa ni maandalizi makubwa, mikakati au ushawishi alionao Bony Yai ila ukweli ni kwamba amewashtua sana wabunge wa Kanda ya Pwani waliopo Bungeni.
Idadi ya watu alioandamana nao haikutegemewa hasa ikizingatiwa alidrop kwa muda kwenye siasa za harakati akaanza kufuga kuku.
Maandamano yako yanazidi mbali mapokezi ya Nchimbi na Makala katika maeneo mengi nchni.
Nikilinganisha nguvu aliyonayo na ushawishi wa akina Kitila, Slaa na Gwajini ni wazi kwamba Jiji la DSM 2025 litarejeshwa upinzani.
Lakini pia ushawishi wake kanda ya pwani unatoa uhakika wa kura nyingi za urais jambo ambalo lina kila dalili kwamba uchaguzi in terms ya kura unaweza kuwa mgumu sana kwenye nafasi ya Urais
Tukumbuke tayari Kura za kanda ya ziwa zimegawanyika, kaskazini zipo based upinzani na kanda ya juu kusini resistance imekuwa kubwa kwa chama tawala.
Nimewasilisha analysis hii ndogo kwa wana mikakati waweze kuanza kuona namna ya kupanga safu sahihi kwa wakati sahihi. CCM lazima wakubali sasa waruhusu watia nia waingie mtaani kwa lengo la kuona nani anakubalika.
Hongera Bony Yai
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Boniface Jacob kurejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa Kanda ya Pwani tarehe 05/09/2024 kwa Maandamano