Pre GE2025 Boniface Jacob anawazidi viongozi waandamizi wa CCM ushawishi na kukubalika: Maandamano yake yanazidi mapokezi ya CPA Makalla

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ungejua kuwa CCM ndio chama kinachoongoza barani Afrka kwa kuwa na utitiri wa mazwazwa ungefuta kauli yako hii.
CCM ndio ile maiti aliyokuwa anaisema marehemu Jomo Kenyatta kwa mwalimu
Kwa sababu wewe ni mkenya wala sishangai kuitukana CCM na kumsifu Kenyatta aliyeamua KUJIGAWIA NCHI na ndugu zake "gikuyu"....
 
Yaweza kuwa ni maandalizi makubwa, mikakati au ushawishi alionao Bony Yai ila ukweli ni kwamba amewashtua sana wabunge wa Kanda ya Pwani waliopo Bungeni.

Idadi ya watu alioandamana nao haikutegemewa hasa ikizingatiwa alidrop kwa muda kwenye siasa za harakati akaanza kufuga kuku.

Maandamano yako yanazidi mbali mapokezi ya Nchimbi na Makala katika maeneo mengi nchni.

Nikilinganisha nguvu aliyonayo na ushawishi wa akina Kitila, Slaa na Gwajini ni wazi kwamba Jiji la DSM 2025 litarejeshwa upinzani.

Lakini pia ushawishi wake kanda ya pwani unatoa uhakika wa kura nyingi za urais jambo ambalo lina kila dalili kwamba uchaguzi in terms ya kura unaweza kuwa mgumu sana kwenye nafasi ya Urais

Tukumbuke tayari Kura za kanda ya ziwa zimegawanyika, kaskazini zipo based upinzani na kanda ya juu kusini resistance imekuwa kubwa kwa chama tawala.

Nimewasilisha analysis hii ndogo kwa wana mikakati waweze kuanza kuona namna ya kupanga safu sahihi kwa wakati sahihi. CCM lazima wakubali sasa waruhusu watia nia waingie mtaani kwa lengo la kuona nani anakubalika.

Hongera Bony Yai

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Boniface Jacob kurejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa Kanda ya Pwani tarehe 05/09/2024 kwa Maandamano
Umewahi sikia nyumbu wana akili?
Alikoelekea mmoja wote ni huko huko kama mpeperuko wa bendera.
 
Hakuna jambo la ajabu hapo ,huyu ni Mpya kwenye siasa na kipya kinyemi.

Lakini mtu kama Mimi Ili unishawishi yataka hoja Zenye mantiki sio maneno meeeeengi
 
Back
Top Bottom