Pre GE2025 Boniface Jacob anawazidi viongozi waandamizi wa CCM ushawishi na kukubalika: Maandamano yake yanazidi mapokezi ya CPA Makalla

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani kulikuwa na maandamano ? Sisi wa Namanyere muwe mnatujuza kwa kuandika habari kamili.
Hao wahuni akina Marco Zedi ,Bashiri Zendenga ,Sumuni Abibu ,Aisha Ranaka...na magenge yao....

Boni Yai ana magenge ya magangwe wala sishangai kuwajaza huko....

Kwani mabox ya smart Gin kisungura na rizla zigi shilingi ngapi ?!![emoji44][emoji1787]
 
Erthyrocytes upo dadangu mkyela mwenzangu ?!! [emoji1787][emoji1787]
 
Hawa chadema huwa hawana Dogo
 
Mwambieni afanye mazoezi apunguze kitambi.
Mtu asiyeweza kutunza mwili wake ataaminikaje wa watu?
 
CCM ina think tanks akili kama nyuki....

Peleka uzwazwa huko ufipa....
Ungejua kuwa CCM ndio chama kinachoongoza barani Afrka kwa kuwa na utitiri wa mazwazwa ungefuta kauli yako hii.
CCM ndio ile maiti aliyokuwa anaisema marehemu Jomo Kenyatta kwa mwalimu
 
Ungejua kuwa CCM ndio chama kinachoongoza barani Afrka kwa kuwa na utitiri wa mazwazwa ungefuta kauli yako hii.
CCM ndio ile maiti aliyokuwa anaisema marehemu Jomo Kenyatta kwa mwalimu
Waleo waliokubali kuongozwa Disco Joker ndio mazwazwa nabari one
 
Kila Chama kingetamani kuwa na viongozi shupavu walio na ukakamavu na ushawishi kwa wanachama na wananchi kwa ujumla.
 
MaCCM ni mazezeta sana. Yanataka kupambana na kila mtu lakini hayataweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…