Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Someni, mimi siongezi wala sipunguzi neno:
Baadae Msigwa akajibu.
Baadae Msigwa akajibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ndio CCM wanamtegemea ataivuruga CHADEMA.Kiingereza ni mzigo wa upumbavu aliotuachia mkoloni
Wanakiharibu Kiswahili na hatuweki neno😆
Msigwa sijawahi kumuaminiHuyo ndio CCM wanamtegemea ataivuruga CHADEMA.
Very strange 😂Huyo ndio CCM wanamtegemea ataivuruga CHADEMA.
😆😆😆😆Huyo ndio CCM wanamtegemea ataivuruga CHADEMA.
Jamii photo ndio kichaka cha kuficha nyuzi zinazopiga kwenye mshonoMods wamehamisdha huu uzi sijui kwsababu gani!
Paw huu uzi kwanini mumeuhamisha Jukwaa? Mbona ule wa Mdude kuhusu Wamasai wa Ngorongoro mmeuacha na hauna tofauti na huu wangu?
Acheni kumlinda Msigwa wakati yeye anataka kuibomoa CHADEMA. Acheni avune hii aibu.
Inasikitisha sana!!Jamii photo ndio kichaka cha kuficha nyuzi zinazopiga kwenye mshono
Hata hivyo wadau wanafuata nyuzi hukohuko wanakozifichaInasikitisha sana!!