Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
CCM ya Samia ni ya hovyo kuliko kipindi chochote kile. Tunaoamni katika karma majibu watayapata tu.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boni Yai, amesema wanachama na makada waliojeruhiwa wakiwa viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, watagharamiwa matibabu yao.
Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema wamedaiwa kukutwa na kadhia hiyo walipokwenda kufuatilia kesi ya uhaini na ya kuchapisha taarifa za uongo mitandaoni inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
Boni Yai na wajumbe wengine wa Kamati Kuu ya Chadema akiwemo Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu wamekutana na waandishi wa habari mchana wa leo Alhamisi, Aprili 24, 2025 makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, Dar es Salaam.
Boni Yai amedai kwenye hekaheka baina ya wafuasi na viongozi wao dhidi ya Polisi wamekutana na kadhia hiyo ya kujeruhiwa na wamepelekwa hospitalini kwa matibabu.
Miongoni mwao ni Makamu wa Chadema Zanzibar, Said Mzee Said na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Ali Ibrahim Juma.
"Wale wote waliojeruhiwa kwa kwenda Kisutu kufuatilia kesi ya mwenyekiti wetu Lissu wote Chadema itagharamia matibabu yao. Kwa taarifa wako kama nane na wengine hatujui walipo," amedai Boni Yai.
Haisee ,kama ambavyo Pasaka ilikua ngumu sana kwa Bwana wangu Yesu mwana wa Mungu ndivyo ipo Ngumu sana kwangu siku ya leo ,Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boni Yai, amesema wanachama na makada waliojeruhiwa wakiwa viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, watagharamiwa matibabu yao.
Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema wamedaiwa kukutwa na kadhia hiyo walipokwenda kufuatilia kesi ya uhaini na ya kuchapisha taarifa za uongo mitandaoni inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
Boni Yai na wajumbe wengine wa Kamati Kuu ya Chadema akiwemo Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu wamekutana na waandishi wa habari mchana wa leo Alhamisi, Aprili 24, 2025 makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, Dar es Salaam.
Boni Yai amedai kwenye hekaheka baina ya wafuasi na viongozi wao dhidi ya Polisi wamekutana na kadhia hiyo ya kujeruhiwa na wamepelekwa hospitalini kwa matibabu.
Miongoni mwao ni Makamu wa Chadema Zanzibar, Said Mzee Said na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Ali Ibrahim Juma.
"Wale wote waliojeruhiwa kwa kwenda Kisutu kufuatilia kesi ya mwenyekiti wetu Lissu wote Chadema itagharamia matibabu yao. Kwa taarifa wako kama nane na wengine hatujui walipo," amedai Boni Yai.
View attachment 3314153
Tutokee apa na JPM wako , hii ni nafasi ambayo angekuepo na angefanya yaleyale, now a true coloured of Jpm wako is on up to dateDuh JPM ameamua kujeruhi watu
Team Msonga walisema sana kipindi cha Mwendazake wakati ule, oooo mshamba mara hivi mara vile,CCM ya Samia ni ya hovyo kuliko kipindi chochote kile. Tunaoamni katika karma majibu watayapata tu.
Ndiyo wanaua na kutekaTeam Msonga walisema sana kipindi cha Mwendazake wakati ule, oooo mshamba mara hivi mara vile,
sasa hivi wako wao madarakani je wana tofauti gani na mwendazake?
Na Bibie kaamua kupumzika kusafiri safiri nje ya nchi, kamwachia mshika Rimoti awe anamwakilisha sehemu nyingi.
Piga hao wafuasi wa kichaa.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boni Yai, amesema wanachama na makada waliojeruhiwa wakiwa viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, watagharamiwa matibabu yao.
Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema wamedaiwa kukutwa na kadhia hiyo walipokwenda kufuatilia kesi ya uhaini na ya kuchapisha taarifa za uongo mitandaoni inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
Boni Yai na wajumbe wengine wa Kamati Kuu ya Chadema akiwemo Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu wamekutana na waandishi wa habari mchana wa leo Alhamisi, Aprili 24, 2025 makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, Dar es Salaam.
Boni Yai amedai kwenye hekaheka baina ya wafuasi na viongozi wao dhidi ya Polisi wamekutana na kadhia hiyo ya kujeruhiwa na wamepelekwa hospitalini kwa matibabu.
Miongoni mwao ni Makamu wa Chadema Zanzibar, Said Mzee Said na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Ali Ibrahim Juma.
"Wale wote waliojeruhiwa kwa kwenda Kisutu kufuatilia kesi ya mwenyekiti wetu Lissu wote Chadema itagharamia matibabu yao. Kwa taarifa wako kama nane na wengine hatujui walipo," amedai Boni Yai.
View attachment 3314153
Hivyo tu je aliyekufa...upuuzi ni mwingi..Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boni Yai, amesema wanachama na makada waliojeruhiwa wakiwa viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, watagharamiwa matibabu yao.
Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema wamedaiwa kukutwa na kadhia hiyo walipokwenda kufuatilia kesi ya uhaini na ya kuchapisha taarifa za uongo mitandaoni inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
Boni Yai na wajumbe wengine wa Kamati Kuu ya Chadema akiwemo Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu wamekutana na waandishi wa habari mchana wa leo Alhamisi, Aprili 24, 2025 makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, Dar es Salaam.
Boni Yai amedai kwenye hekaheka baina ya wafuasi na viongozi wao dhidi ya Polisi wamekutana na kadhia hiyo ya kujeruhiwa na wamepelekwa hospitalini kwa matibabu.
Miongoni mwao ni Makamu wa Chadema Zanzibar, Said Mzee Said na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Ali Ibrahim Juma.
"Wale wote waliojeruhiwa kwa kwenda Kisutu kufuatilia kesi ya mwenyekiti wetu Lissu wote Chadema itagharamia matibabu yao. Kwa taarifa wako kama nane na wengine hatujui walipo," amedai Boni Yai.
View attachment 3314153
Wanaompamba Kikwete huwa nawashangaa sana.Ndiyo wanaua na kuteka
Anakuua huku anachekaWanaompamba Kikwete huwa nawashangaa sana.
Kuna kitu kimejificha sana G55 na ACT wazalendo
Lipeni kuwe na mzunguko wa pesa.Kumbe pesa mnazo mumeziweka tu majumbaniMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boni Yai, amesema wanachama na makada waliojeruhiwa wakiwa viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, watagharamiwa matibabu yao.
Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema wamedaiwa kukutwa na kadhia hiyo walipokwenda kufuatilia kesi ya uhaini na ya kuchapisha taarifa za uongo mitandaoni inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
Boni Yai na wajumbe wengine wa Kamati Kuu ya Chadema akiwemo Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu wamekutana na waandishi wa habari mchana wa leo Alhamisi, Aprili 24, 2025 makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, Dar es Salaam.
Boni Yai amedai kwenye hekaheka baina ya wafuasi na viongozi wao dhidi ya Polisi wamekutana na kadhia hiyo ya kujeruhiwa na wamepelekwa hospitalini kwa matibabu.
Miongoni mwao ni Makamu wa Chadema Zanzibar, Said Mzee Said na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Ali Ibrahim Juma.
"Wale wote waliojeruhiwa kwa kwenda Kisutu kufuatilia kesi ya mwenyekiti wetu Lissu wote Chadema itagharamia matibabu yao. Kwa taarifa wako kama nane na wengine hatujui walipo," amedai Boni Yai.
View attachment 3314153
Bado hujasema 😂Tutokee apa na JPM wako , hii ni nafasi ambayo angekuepo na angefanya yaleyale, now a true coloured of Jpm wako is on up to date