PreGE2025 Boniface Jacob: Chadema itagharamia gharama za Wafuasi waliojeruhiwa Kisutu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boni Yai, amesema wanachama na makada waliojeruhiwa wakiwa viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, watagharamiwa matibabu yao.

Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema wamedaiwa kukutwa na kadhia hiyo walipokwenda kufuatilia kesi ya uhaini na ya kuchapisha taarifa za uongo mitandaoni inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.

Boni Yai na wajumbe wengine wa Kamati Kuu ya Chadema akiwemo Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu wamekutana na waandishi wa habari mchana wa leo Alhamisi, Aprili 24, 2025 makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, Dar es Salaam.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Boni Yai amedai kwenye hekaheka baina ya wafuasi na viongozi wao dhidi ya Polisi wamekutana na kadhia hiyo ya kujeruhiwa na wamepelekwa hospitalini kwa matibabu.

Miongoni mwao ni Makamu wa Chadema Zanzibar, Said Mzee Said na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Ali Ibrahim Juma.

"Wale wote waliojeruhiwa kwa kwenda Kisutu kufuatilia kesi ya mwenyekiti wetu Lissu wote Chadema itagharamia matibabu yao. Kwa taarifa wako kama nane na wengine hatujui walipo," amedai Boni Yai.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boni Yai, amesema wanachama na makada waliojeruhiwa wakiwa viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, watagharamiwa matibabu yao.

Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema wamedaiwa kukutwa na kadhia hiyo walipokwenda kufuatilia kesi ya uhaini na ya kuchapisha taarifa za uongo mitandaoni inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.

Boni Yai na wajumbe wengine wa Kamati Kuu ya Chadema akiwemo Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu wamekutana na waandishi wa habari mchana wa leo Alhamisi, Aprili 24, 2025 makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, Dar es Salaam.

Boni Yai amedai kwenye hekaheka baina ya wafuasi na viongozi wao dhidi ya Polisi wamekutana na kadhia hiyo ya kujeruhiwa na wamepelekwa hospitalini kwa matibabu.

Miongoni mwao ni Makamu wa Chadema Zanzibar, Said Mzee Said na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Ali Ibrahim Juma.

"Wale wote waliojeruhiwa kwa kwenda Kisutu kufuatilia kesi ya mwenyekiti wetu Lissu wote Chadema itagharamia matibabu yao. Kwa taarifa wako kama nane na wengine hatujui walipo," amedai Boni Yai.
CCM ya Samia ni ya hovyo kuliko kipindi chochote kile. Tunaoamni katika karma majibu watayapata tu.
 
View attachment 3314153
Haisee ,kama ambavyo Pasaka ilikua ngumu sana kwa Bwana wangu Yesu mwana wa Mungu ndivyo ipo Ngumu sana kwangu siku ya leo ,

Ila Mungu Wangu kama huishivyo , na kama unenavyo na mimi live , bado nataka unidhihirishie unachoendelea niambia.

Naam nyavu zikawa nyingi tusione pakutokea ,nami nikiwa na Rafiki zangu ambao ni wakale au mda mrefu sana tukiwa sehem moja ,nikiulizwa yule rafiki yetu wa siku zote amepona.

Ghafla najikuta katika maokozi ambayo kila mmoja alisha kata tamaa, na dada mmoja kutupa furaha ya kicheko ndani ya ukumbi mkubwa sana ambao wote tulilala kufudifudi , E Mungu wangu bado nahitaji ufafanuzi wako juu ya hili usiku huu usipite Mungu wangu, nataka ulimwengu ujue nipo nawe Mungu wangu ulie hai , imekua .
 
CCM ya Samia ni ya hovyo kuliko kipindi chochote kile. Tunaoamni katika karma majibu watayapata tu.
Team Msonga walisema sana kipindi cha Mwendazake wakati ule, oooo mshamba mara hivi mara vile,

sasa hivi wako wao madarakani je wana tofauti gani na mwendazake?
Na Bibie kaamua kupumzika kusafiri safiri nje ya nchi, kamwachia mshika Rimoti awe anamwakilisha sehemu nyingi.
 
Ndiyo wanaua na kuteka
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boni Yai, amesema wanachama na makada waliojeruhiwa wakiwa viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, watagharamiwa matibabu yao.

Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema wamedaiwa kukutwa na kadhia hiyo walipokwenda kufuatilia kesi ya uhaini na ya kuchapisha taarifa za uongo mitandaoni inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.

Boni Yai na wajumbe wengine wa Kamati Kuu ya Chadema akiwemo Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu wamekutana na waandishi wa habari mchana wa leo Alhamisi, Aprili 24, 2025 makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, Dar es Salaam.

Boni Yai amedai kwenye hekaheka baina ya wafuasi na viongozi wao dhidi ya Polisi wamekutana na kadhia hiyo ya kujeruhiwa na wamepelekwa hospitalini kwa matibabu.

Miongoni mwao ni Makamu wa Chadema Zanzibar, Said Mzee Said na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Ali Ibrahim Juma.

"Wale wote waliojeruhiwa kwa kwenda Kisutu kufuatilia kesi ya mwenyekiti wetu Lissu wote Chadema itagharamia matibabu yao. Kwa taarifa wako kama nane na wengine hatujui walipo," amedai Boni Yai.
View attachment 3314153
Piga hao wafuasi wa kichaa.
 
Hivyo tu je aliyekufa...upuuzi ni mwingi..
 
Kuna kitu kimejificha sana G55 na ACT wazalendo

Lipeni kuwe na mzunguko wa pesa.Kumbe pesa mnazo mumeziweka tu majumbani
 
Kwenda mahakamani tu wanaua na kujeruhi, uchaguzi si watazamisha wa kutosha
 
Back
Top Bottom