Boniface Jacob: Chadema kuwapa ushirikiano Polisi ni usaliti na mzaha kwa roho za waliotekwa, kupotea na kuuawa

Mtaeleza tu mda siyo mrefu
Wewe hasa unataka iweje?

Ni kipi kilicho kuchanganya katika taarifa hiyo uliyo weka hapo?

Hivi u-Tanzania wako umekuwa hauna maana tena kwa vile tu unajitambulisha kuwa ni sehemu ya CCM?
 
Kutokana na matukio mabaya kabisa yanayoendelea kutokea hapa nchini, Vituo vya Polisi vimekuwa Siyo sehemu salama Tena kwa sasa.. Uwezekano wa kwenda ukiwa hai, na mzima ni mkubwa, lakini uwezekano wa kurudi ukiwa maiti ni mkubwa zaidi.

Hali inatisha sana kwa kweli, hali siyo shwari kabisa!

Siku hizi ukisikia kuwa ndugu yako, jamaa au rafiki yako ameitwa Polisi au amekamatwa na Polisi, basi unatakiwa ujiandae vizuri kisaikolojia kwa ajili ya msiba na mazishi yake, kwa sababu muda wowote ule unaweza kujulishwa au kupigiwa simu na kujulishwa kwamba nenda 'mochwali' ukachukue maiti ya ndugu yako.
 
Polisi tunawapa kamba wajinyonge wenyewe kwa kuwaogopa vikali sana wanaosemekana ni watu wasiojulikana na polisi lakini wanafahamika pale Changombe kituo cha Polisi na Oysterbay Kituo cha Polisi.

Tume ya Kuchunguza waliohusika na Utekaji, Upotezwaji na vifungo vya mchongo nchini Argentina na Chile.

Na mahakama nchini Argentina kukataa kutambua kinga ya kutoshitakiwa, kwa kuwa ni batili katika demokrasia, Mahakama ya Juu iliona Demokrasia yenye uwigo wa baadhi kutoweza kushitakiwa ni kinyume cha Demokrasia

TOKA MAKTABA:
Santiago, Chile

2014 9 June


"Memory and Landscape: Unveiling the Historic Truths of Chile" is a book of resistance that carries forward the protest and history of the disappearance of people in Chile during the dictatorship of Augusto Pinochet. The abuses and human rights violations committed, such as forced imprisonment, torture, forced exile and murder, creates a responsibility for the government to do justice for the horrors perpetrated in Chile between 1973 and 1990


View: https://m.youtube.com/watch?v=SueXWOIY-CI
 
Hoja zake zina mashiko.
 
Kitendo cha Mbowe kuingilia maamuzi ya raia msibani kinatosha kuelezea nini kitatokea kwa CHADEMA kwenye hili.
 
Chadema walianza wenyewe sasa wanaitwa wanakimbia kivuli chao waitwe wajibu

USSR
Punguzeni kuua innocent Watanganyika. Intelejensia ya Police huwa inafanya kazi wakati gani? Au wakati maiti imezikwa?
 
na muhimu sana na midevu nae ajiandae kwasababu ya nafasi yake kwenye kunyetisha habari za mwanzo na mwisho ya songombingo hii mbaya na ya aibu sana ili kijiridhisha vyema kuhusu kama ana taarifa za hapo katikati zaidi ya zile za mwanzo na mwisho
Tayari umeathirika wewe. Tokea hapa kwenda mbele utakuwa ni kiazi mbatata!
Hovyo kabisa.
 
Tayari umeathirika wewe. Tokea hapa kwenda mbele utakuwa ni kiazi mbatata!
Hovyo kabisa.
ni kweli kabisa,
mwenye chama anadai sasa hivi kuonyagi anaona ni kama chai tu sasaiv haskii ladha kabisa tena
 
Sasa naamini kuwa Sokoine na Balali ni kweli waliuliwa na CCM 10000%
 
Naam kuitwa kwa kutoa taarifa na sio kushikwa kama muhukumiwa sio Tatizo..., kama wote wangekuwa wanaitwa kwa kutoa taarifa na kufuata misingi ya sheria zinavyotaka sidhani kama tungefika hapa wala tungekuwa tunashutumiana
Akina Soka waliitwa kwenda kufata pikipiki yao iliyokua imepotea mpaka leo haijulikani wapo wapi?

Kaa kimasta mda wote, mkao wa wana riadha wa mita 100
 
Huwezi kuelewa kwa sasa uhusika wake lakini amehusika pakubwa.
Kaka msigwa kesho akimtaja mbowe una maanisha nae mbowe atatekwa na kuuliwa? Hoja yangu ni wapi nguvu ya msigwa kufanya hayo yote yatokee kama waliofanya hawakua na dhamira hiyo?
Pili hatakama msigwa kataja je adhabu ya huyo mtu ni kuuliwa? Kwa nn tusilaumu walioua tanamlaumu msigwa?
Kilichotokea kwa sativa, soka na wengine ni je msigwa ndio alitaja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…