Boniface Jacob: Chadema kuwapa ushirikiano Polisi ni usaliti na mzaha kwa roho za waliotekwa, kupotea na kuuawa

Akina Soka waliitwa kwenda kufata pikipiki yao iliyokua imepotea mpaka leo haijulikani wapo wapi?

Kaa kimasta mda wote, mkao wa wana riadha wa mita 100
Unfortunately hakuna system nyingine yoyote practical zaidi ya kuboresha iliyopo na kuhakikisha tuna weed out bad apples na kuondoa loopholes za kuweza kuhujumiwa
 
Kama ni kweli yanasikitisha sana. Naamini Mh Rais Samia Suluhu Hassan mfariji Mkuu atachukua hatua za haraka kuhusu suala hili ili Tume huru ilichunguze.
 
Wakati ukifika utaelewa kwa nini nimemnyooshea kidole Msigwa kwenye utekwaji na hatimaye kuuliwa Mzee Kibao. Kwa sasa bado tunaomboleza
 
SATIVA inasemekana alipelekwa Arusha, je huko kuna Kiongozi wa Watekaji?
 
Msigwa nae aache kutajataja watu wa huko Chadema akidhani labda ndio anaisaidia nchi. Awali alichagua kumshambulia aliye kuwa mwenyekiti wake. Kumbe baadaye akaona haitoshi, kamtaja mtu sasa kapoteza uhai.

Je, Msigwa hajisikii kaubaridi fulani ka hofu? Waswahili husema mdomo huponza kichwa. Nadhani sasa anapaswa kuepuka kutaja majina, upepo unavuma ndivyo sivyo.
 
Kuna ng'ombe wa kike anayeitaji kupandwa musiba aje asome na afuatilie habar sio akiwa na joto la kupandwa na laana za watu alioshriki kuwaua kipind Cha mwenda zake anaropoka kua mnyika aitwe ahojiwe ,,
 
Hu Huwezi kukataa wito wa polisi ni kosa la jinai ila unaweza kukataa kutoa taarifa kwa sababu zako. Msivunje sheria makusudi, kataa kiufundi
 
Hu
Huwezi kukataa wito wa polisi ni kosa la jinai ila unaweza kukataa kutoa taarifa kwa sababu zako. Msivunje sheria makusudi, kataa kiufundi
Huoni kama Soka angekataa wito pengine asingekutwa na yale madhira?
 
Uwongo wa Msigwa kwa CCM ili aweze kuonekana kuwa ni mtu muhimu ndani ya CCM, kumepoteza maisha ya watu. Msigwa ndiye anatajwa kusema kuwa eti Ally Kibao anaandaa vijana wa kupambana na UVCCM, polisi wakatekeleza maagizo ya CCM ya kumteka na Kumwua Ally, huku tayari baadhi ya vijana wa CHADEMA wakiwa wametekwa, na uhai wao ni majaaliwa ya MWENYEZI MUNGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…