mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob (Boni Yai) akizungumza na wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wa chama hicho mkoa wa Dar es Salaam katika uchaguzi wa serikali za mitaa, hafla iliyofanyika leo, Alhamisi Novemba 07.2024 amesema kuwa wamefanikiwa kusimamishawagombea katika Mitaa 547 kati ya 564
"Huu ni mkutano wa wagombea wa nafasi za Mwenyekiti na Wajumbe wa mitaa kwa mkoa wa Dar es Salaam kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, Katibu wetu wa Kanda ya Pwani (CHADEMA) ametuelezea hapa kwamba kwa mara ya kwanza Dar es Salaam inakamilisha mitaa 547 kati ya 564, na hiyo mitaa 23 iliyobaki si kwamba CCM imeachwa bila kupingwa bali kuna vyama vingine kwenye mashauriano wananchi wa maeneo hayo walituambia hapa mwachieni huyu na tulivyofuatilia tukajiridhisha wana nguvu" -Boni Yai
"Kwa kuwa CHADEMA dhumuni letu ni kuiondoa CCM tulikubali ushari wa wananchi wa maeneo husika kwamba kwa eneo letu mwenye nguvu ni huyu wa kupambana na CCM, na kwa maana hiyo maeneo hayo 23 tumewaachia vyama vingine, lakini mitaa 547 tumesimama wenyewe, kwa Dar es Salaam tafsiri yake tuna zaidi ya asilimia 95 ya kusimamisha wagombea" -Boni Yai
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob (Boni Yai) alipokuwa akizungumza na wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wa chama hicho mkoa wa Dar es Salaam katika uchaguzi wa serikali za mitaa, hafla iliyofanyika leo, Alhamisi Novemba 07.2024

CHADEMA YATOA MAFUNZO KWA WAGOMBEA WA MITAA, VIJIJI, VITONGOJI