Boniface Jacob; Feisal ni tapeli

Boniface Jacob; Feisal ni tapeli

Mnada wa Mhunze

Senior Member
Joined
Mar 1, 2023
Posts
168
Reaction score
819
IMG-20230601-WA0030.jpg
Meya mstaafu wa Ubungo bwana Boniface Jacob amemtaka Feisal Salum amrejeshee pesa yake aliyomchangia kwa sababu amegundua anatumia UTAPELI kuchangisha pesa kwa ajili ya kesi yake kwenda CAS

Boniface ambaye ni shabiki wa Simba kinda-kindaki amechukizwa na uongo wa kutunga anaoufanya Feisal!

Meya Boniface anaamini jambo la kweli husemwa na aliyetendwa bila kufundishwa ama kuelekezwa na yeyote

Meya huyo amechukizwa mno na namna TAPELI FEISAL anavyowarubuni watu wamchangie kwa SABABU YA UGOMVI WAKE BINAFSI NA ENG HERSI
 
kila siku polisi wanatuma msg kutukumbushia hawa matapeli wa tuma namba hii bado hatusikii ONA SASA!!!
 
wanasiasa wa Tanzania, hasa wa upinzani, wamekosa kabisa kazi za msingi za kufanya... wamekuwa kama bendera ama dancers wa amapiano
 
Duh siwezi kuchanga hata Mia mbovu kwa mtu mjinga kiasi kile

Eti ile million Mia niseme nilipewaje!?
 
Back
Top Bottom