LGE2024 Boniface Jacob: Halmashauri ya manispaa ya Ubungo imekataa rufaa zote za CHADEMA

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Wakuu naona mambo yanazidi kuwa tofauti na vile ilivyotarajiwa licha ya imani iliyojitokeza baada ya Nchimbi kutoa kauli.

Ama ndiyo kusema wote makosa yao ni makubwa makubwa?

Screenshot_20241115-174829.png
 
Wakuu naona mambo yanazidi kuwa tofauti na vile ilivyotarajiwa licha ya imani iliyojitokeza baada ya Nchimbi kutoa kauli.

Ama ndiyo kusema wote makosa yao ni makubwa makubwa?

View attachment 3153087
Hivi mkapa na Kikwete wsliwezaje kua transparent kiasi kile, Chadema mjufunze mlitukana sana utawala wa JK wakati ndo uliwapa nguvu hautakuja kurudi tena.
 
Utawala niwa CCM na ndiyoiekuwa ikifanya yote hayo kwa kadili inavyojisikia. Kama JK angekuwa ana utofauti wowote angeweka mabadiliko ya kikatiba na kisheria, ila kwa kiwa ni walewale ndiyo maana hakuona umuhimu huo.
 
Chadema jitoeni kushiriki huu uchaguzi . Muwaachie ccm peke yao tuone kama watafaulu huu mtihani wa nchi ya Tanzania kwa kutumia chawa empty headed.
 
Hivi mkapa na Kikwete wsliwezaje kua transparent kiasi kile, Chadema mjufunze mlitukana sana utawala wa JK wakati ndo uliwapa nguvu hautakuja kurudi tena.
🚮 🚮
Kwamba nyie maccm ni mungu na nchi ni yenu peke yenu?!!!
 
[emoji706] [emoji706]
Kwamba nyie maccm ni mungu na nchi ni yenu peke yenu?!!!
Mtalia mpaka mzeeke kwasbb hamjui kushukuru wanao wafanyia wema, mgempenda sanaa Raisi JK alikua mtu wa demokurasia ila alitukanwa mpaka basi
 
Chadema walipaswa kuachana na rufaa na kuwaachia ccm uchaguzi wao wa kitapeli,Walichokita ccm ni kuingiza chaka Chadema ili ionekane walienguliwa kisheria baada ya kufuata taratibu zote na hicho ndicho kilichotokea.
 
Chadema jitoeni kushiriki huu uchaguzi . Muwaachie ccm peke yao tuone kama watafaulu huu mtihani wa nchi ya Tanzania kwa kutumia chawa empty headed.
Walishauriwa wajitoe mapema, no way mamlaka zitawapa chance
 
Haya ngoja CCM waje tuwasikie tena hawakawii kusema jamaa si raia wa TZ.
 
Wakuu naona mambo yanazidi kuwa tofauti na vile ilivyotarajiwa licha ya imani iliyojitokeza baada ya Nchimbi kutoa kauli.

Ama ndiyo kusema wote makosa yao ni makubwa makubwa?

View attachment 3153087
Hii ndio kuonyesha ndani ya serikali ya Ccm kila mmoja ni kambale.
Mtoto ana ndevu, mama ana ndevu na baba ana ndevu.
Ni kupotezeana muda tuu.
Yaani katibu mkuu wao kapoteza muda kuongea na Taifa kumbe ni zuga tuu.
 
ili
Wakuu naona mambo yanazidi kuwa tofauti na vile ilivyotarajiwa licha ya imani iliyojitokeza baada ya Nchimbi kutoa kauli.

Ama ndiyo kusema wote makosa yao ni makubwa makubwa?

View attachment 3153087
ile ilikuwa ni ghiliba ya ccm,kujipamba kimataifa,huyo katibu anahusika kwa kila kitu ndani ya ccm kuenguliwa na kukataliwa kwa wagombea wa chadema bila hiyana
 
Back
Top Bottom