LGE2024 Boniface Jacob: Halmashauri ya manispaa ya Ubungo imekataa rufaa zote za CHADEMA

LGE2024 Boniface Jacob: Halmashauri ya manispaa ya Ubungo imekataa rufaa zote za CHADEMA

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Lisu ameshaawambia uchaguzi umeshaisha mjipange kwa mwakani
 
Nina imani kubwa hakuna aliekosea kujaza form wagombea wote nchi nzima na kwa safari hii kulikuwa na ulazima mkubwa wakuwa makini katika ujazaji. Na km nikukosea unapewa nafasi yakurekebisha ni uungwani ni utanzania tulionao.
Kiukweli mwenda zake ndio ameiharibu nchi ndio alitoa namna yakudeal na hizi chaguzi. Tuliingizwa kwenye u dictator. Wanaona ndio njia sahihi kwao wamedhamiria kutotoka madarakani. Watakaa kwenye kiti kwa kutumia njia yoyote ile. Sis wananchi hatuwatishi tena kazi yetu nikuongea tu wanajua namna yakutudhibiti
Jeshi pekee ndio linaweza kuwatoa ila ndio hivyo tena wamewekwa vibaraka sio wazelendo wa nchi.
HAKUNA MATUMAINI YAKUPONA KATIKA HII NCHI. KILA MTU ALIE NA MUNGU TU. NDICHO KILICHOBAKI.
 
Leta hoja mimi sio chawa wala CCM siipendi ila chadema ni wajinga wameshindwa kushawishi raia kugomea uchaguzi na kuandamana wanagombania ruzku na vyeo.
Yaliitishwa juzijuzi maandamano nani alitoka. Hakuna mtanzania wakumtegemea nchi hii. Chadema wanapambana sn ila watz hatuwaungi mkono. Siku wakinyamaza ndio tutajua hatujui
 
Utawala wa ki-dictator wa Magufuli bado unaendelea tena wa kikatili zaidi na uovu mkubwa mno
 
Back
Top Bottom