Nina imani kubwa hakuna aliekosea kujaza form wagombea wote nchi nzima na kwa safari hii kulikuwa na ulazima mkubwa wakuwa makini katika ujazaji. Na km nikukosea unapewa nafasi yakurekebisha ni uungwani ni utanzania tulionao.
Kiukweli mwenda zake ndio ameiharibu nchi ndio alitoa namna yakudeal na hizi chaguzi. Tuliingizwa kwenye u dictator. Wanaona ndio njia sahihi kwao wamedhamiria kutotoka madarakani. Watakaa kwenye kiti kwa kutumia njia yoyote ile. Sis wananchi hatuwatishi tena kazi yetu nikuongea tu wanajua namna yakutudhibiti
Jeshi pekee ndio linaweza kuwatoa ila ndio hivyo tena wamewekwa vibaraka sio wazelendo wa nchi.
HAKUNA MATUMAINI YAKUPONA KATIKA HII NCHI. KILA MTU ALIE NA MUNGU TU. NDICHO KILICHOBAKI.