Boniface Jacob: Kombo amezungushwa mikoa 10 akihojiwa na kuteswa na Polisi kabla ya kurudishwa Tanga

Baada ya kutoa UPDATES za kuhusu kutelekezwa Wazazi wa KOMBO nje ofisi ya RPC Tanga bila ruhusa ya kumuona mtoto wao na msaada wowote Na baadae Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa CHADEMA Godbless Lema kuwapigia Jeshi la Polisi Tanga.

Mchana huu wazazi wa KOMBO na waliokuwa ofisi za RPC Tanga waliitwa na kuruhusiwa Kwenda Kumuona mtoto wao KOMBO wakiongozana na Viongozi wa CHADEMA ktk mahabusu ya Polisi CHUMBAGENI.

1. Kwa mara ya kwanza wamemuona Kombo akiwa amedhoofika sanaaaaaa (kimwili na Kiafya).
2. Kombo anasema alitekwa na kuzungushwa mikoa tofauti tofauti 10, kabla ya kurudishwa Tanga na kila alipokuwa anapelekwa alikuwa anahojiwa upya kwa mateso makali sana na vipigo.

3. Kombo anasema ameteswa na kuumizwa sana akiwa anahojiwa sana kueleza uhusiano kati yake na akaunti ya "KIGOGO" ya mitandao ya Kijamii na kulazimishwa aseme uhusiano wake na huyo anaye jiita KIGOGO mitandaoni.
4. Kombo amevunjwa kidole Kimoja cha mkononi na kubakia na jeraha ambalo hajawahi kupewa tiba yoyote wakati akiwa anateswa na kubanwa na kifaa maalum cha kubania vidole upate maumivu.

5. Kombo anasema alifungwa kitambaa cheusi tangu atekwe tarehe 15 June 2024 hawajawahi kukitoa kwa siku zoteZaidi ya siku wanamsainisha makaratasi ambayobhata hakujua wamenadika nini. Jana mchana ndiyo walikitoa kitambaa cheusi walichomfunga usoni kwa mara ya kwanza.

6. Kombo anasema tangu wamteke tarehe 15 June 2024 amekuwa akipewa mlo mmoja tuh kwa siku zote alipokuwa chini yao.

7. kombo anasema kabla ya Kumrudisha Tanga,walimtaarifu watamuachia ila wamemtishia kuwa akisema lolote kuhusu yaliyo mtokea watamuua kwakuwa wanapajua nyumbani kwake,kwamba watarudi muda wowote.

8. Kombo anasema huko alipokuwa kuna watu wengine wakiwa wapo katika hali kama yake ya kufungwa vitambaa na kupewa mateso makali sana,lakini hajui ni akina nani.

9. Kombo anasema yupo tayari kuyasema mateso yote waliyomfanyia tangu siku ya kwanza walipomteka mbele ya vyombo vya habari na Mahakamani pia. Yupo tayari kwa lolote ikibidi kufa kwa sababu huko alipokuwa alisha Sali Sala na dua zote na kujikabidhi kwa Mungu baada ya kuona uwezekano wa kuendelea kuishi au kurudi tena uraiani haupo tena.

10.Wazazi wake na Viongozi waliokuwa wanamskikiza na kushuhudia akionyesha majeraha yake mwilini wamejikuta wanali sana.

N.B: Wazazi na viongozi wa CHADEMA wakiwa ofisi ya RPC Tanga, wamebahatika kuonana na mtu ambaye kitambulisho chake cha NIDA kiliokotwa eneo ambalo walimteka KOMBO kule handeni na mimi kukitangaza hapa akiwa ni Mwenyeji kituoni hapo.

Boniface Jacob Ex-Mayor
A Voice of the silenced Majority.

Pia soma==>> Jeshi la Polisi kukiri kuwa linamshikilia kada wa CHADEMA, Kombo Mbwana, jeshi hilo sasa linapaswa kufumuliwa

Lucas Mwashambwa wakinangwa vilivyo wenye serekali ya watesi hawa watakuwa wanaonewa?
 
thank you... this one makes some sense at least, wanadhani ni Kigogo. Simple as.

yule Sativa wa D'Salaam yule, habari zimeandikwa na vilaza wa hali ya juu, hawasemi amefanya nini cha kutekwa, who the hell is he, jina lenyewe Sativa, yani bangi, ameandika nini, amesema nini... you get nothing! Some dumb stuff.
Kwamba hukujali walichomfanyia.
 
Sad story..........kwenye poor country kama Tanzania.
Tutaendelea kuwa watumwa wakifrika mpaka lini.
Tunahitaji mabadiliko, kiukweli Jeshi la Police linatumiwa vibaya haswa na wanasiasa wenye ni mbaya na nchi yetu.

Enough it is enough, we need some changes.
 
Back
Top Bottom