Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Meya zamani wa Kinondoni na Ubungo, ambaye ametangaza kugombea Uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, amepanga kurejesha fomu ya kugombea uongozi huo kwa Maandamano.
Leo aliitwa Polisi Kanda Maalum ili kueleza kwanini anarejesha fomu kwa maandamano, baada ya Ufafanuzi Polisi wameahidi kuyalinda.
Maandamano hayo kabambe yataanzia Manzese, Yatapita Tandale na Kuingia Mwananyamala na Hatimaye yataishia Kinondoni Zilipo Ofisi za Kanda ya Pwani.
Soma Pia: Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni Boniface Jackob, atangaza nia kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani
Wote Mnakaribishwa.