Pre GE2025 Boniface Jacob kurejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa Kanda ya Pwani tarehe 05/09/2024 kwa Maandamano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Meya zamani wa Kinondoni na Ubungo, ambaye ametangaza kugombea Uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, amepanga kurejesha fomu ya kugombea uongozi huo kwa Maandamano.

Leo aliitwa Polisi Kanda Maalum ili kueleza kwanini anarejesha fomu kwa maandamano, baada ya Ufafanuzi Polisi wameahidi kuyalinda.

Maandamano hayo kabambe yataanzia Manzese, Yatapita Tandale na Kuingia Mwananyamala na Hatimaye yataishia Kinondoni Zilipo Ofisi za Kanda ya Pwani.

Soma Pia: Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni Boniface Jackob, atangaza nia kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

Wote Mnakaribishwa.
maanndamano kwa manufaa ya nani sasa? mnapenda sifa za kijinga sana
 
Meya zamani wa Kinondoni na Ubungo, ambaye ametangaza kugombea Uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, amepanga kurejesha fomu ya kugombea uongozi huo kwa Maandamano.

Leo aliitwa Polisi Kanda Maalum ili kueleza kwanini anarejesha fomu kwa maandamano, baada ya Ufafanuzi Polisi wameahidi kuyalinda.

Maandamano hayo kabambe yataanzia Manzese, Yatapita Tandale na Kuingia Mwananyamala na Hatimaye yataishia Kinondoni Zilipo Ofisi za Kanda ya Pwani.

Soma Pia: Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni Boniface Jackob, atangaza nia kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

Wote Mnakaribishwa.
Kwani chaguzi za kanda kwa Chadema hazina muda maalumu?
Naona kila Kanda inafanya mkutano kwa muda wake.
 
Meya zamani wa Kinondoni na Ubungo, ambaye ametangaza kugombea Uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, amepanga kurejesha fomu ya kugombea uongozi huo kwa Maandamano.

Leo aliitwa Polisi Kanda Maalum ili kueleza kwanini anarejesha fomu kwa maandamano, baada ya Ufafanuzi Polisi wameahidi kuyalinda.

Maandamano hayo kabambe yataanzia Manzese, Yatapita Tandale na Kuingia Mwananyamala na Hatimaye yataishia Kinondoni Zilipo Ofisi za Kanda ya Pwani.

Soma Pia: Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni Boniface Jackob, atangaza nia kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

Wote Mnakaribishwa.
Asante Kwa Bob Yai
 
mtoa hoja ambae ni mpigadebe wa boni anadai mungwana anaweza sana fitna za ndani ya chama nadhani alimaanisha pamoja na kusambaza mkwanja kama ilivyotokea Nyasa,

Lakini pia mtoa hoja akaja kumuhadaa yule shekhe ambae nae amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo nyeti ya ubosi wa kanda,

nataka tu kufahamu,
Je, shekhe nae anazijua fitna au atafedheheshwa Zaidi ya msigwa?🐒
Chadema huwa hamna rushwa kama kule
 
Bon yai ndio kiumbe pekee ninayemuelewa cdm,jamaa ashinde huo uchaguzi wa kanda ya pwani,ni jembe hasa
 
Meya zamani wa Kinondoni na Ubungo, ambaye ametangaza kugombea Uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, amepanga kurejesha fomu ya kugombea uongozi huo kwa Maandamano.

Leo aliitwa Polisi Kanda Maalum ili kueleza kwanini anarejesha fomu kwa maandamano, baada ya Ufafanuzi Polisi wameahidi kuyalinda.

Maandamano hayo kabambe yataanzia Manzese, Yatapita Tandale na Kuingia Mwananyamala na Hatimaye yataishia Kinondoni Zilipo Ofisi za Kanda ya Pwani.

Soma Pia: Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni Boniface Jackob, atangaza nia kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

Wote Mnakaribishwa.
Chawa wake umeshafika
 
Screenshot_2024-09-05-13-55-14-1.png
Screenshot_2024-09-05-13-54-23-1.png
Screenshot_2024-09-05-13-53-44-1.png
 
Back
Top Bottom