Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mtiti wa ile Kanda umetuvuruga, Yaani mtu kahama yeye peke yake! Watu wanajiuliza hakuwa hata na wafuasi?Penye Kanda ya Nyasa hapo rekebisha mkuu
Ndio tatizo kwenye chama watu wabinafsi kupewa vyeo vya juu, CHADEMA kinatumika kama stepping stone kwa wenye njaa za kutimiza mafanikio yao kisiasa.Mtiti wa ile Kanda umetuvuruga, Yaani mtu kahama yeye peke yake! Watu wanajiuliza hakuwa hata na wafuasi?
Wewe endelea kuvishwa fulana zenye picha ya SamiaWajinga wengi watapoteza muda kutembea kutoka Manzese hadi Ufipa halafu baadae kulalamika maisha magumu.
Usilie, Mambo BadoNdio tatizo kwenye chama watu wabinafsi kupewa vyeo vya juu, CHADEMA kinatumika kama stepping stone kwa wenye njaa za kutimiza mafanikio yao kisiasa.
Mwamba namkubali... Ningekuwa napiga kura angepata. Hata hivyo tukutane mwakani kwenye ubunge. Una kura yangu
Meya zamani wa Kinondoni na Ubungo, ambaye ametangaza kugombea Uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, amepanga kurejesha fomu ya kugombea uongozi huo kwa Maandamano.
Leo aliitwa Polisi Kanda Maalum ili kueleza kwanini anarejesha fomu kwa maandamano, baada ya Ufafanuzi Polisi wameahidi kuyalinda.
Maandamano hayo kabambe yataanzia Manzese, Yatapita Tandale na Kuingia Mwananyamala na Hatimaye yataishia Kinondoni Zilipo Ofisi za Kanda ya Pwani
Wote Mnakaribishwa.
Mzee wa fitna sio?π€£

Mungu baba Ibariki CHADEMA

AmenMungu baba Ibariki CHADEMA
weka hicho kifunguMaandamano bila kibali ni kosa la kisheria
weka hicho kifungu
Kwani unaitaka fomu yenyewe,kama hivyo nawe uchukue ya ujumbe wa nyumba 10.Hiyo mwachie yeye ni yake na chama chake.Mzee wa fitna sio?π€£
vip shekhe atarudisha lini fomu? au ataanza kukiona cha moto mapema kabla ya hapo?π
Mbona maandamano ya madodo hayaombewi kibali?Maandamano bila kibali ni kosa la kisheria
mtoa hoja ambae ni mpigadebe wa boni anadai mungwana anaweza sana fitna za ndani ya chama nadhani alimaanisha pamoja na kusambaza mkwanja kama ilivyotokea Nyasa,Kwani unaitaka fomu yenyewe,kama hivyo nawe uchukue ya ujumbe wa nyumba 10.Hiyo mwachie yeye ni yake na chama chake.
Mlimfedhehesha kwa kumbebesha mabango au kwa namna ipi?mtoa hoja ambae ni mpigadebe wa boni anadai mungwana anaweza sana fitna za ndani ya chama nadhani alimaanisha pamoja na kusambaza mkwanja kama ilivyotokea Nyasa,
Lakini pia mtoa hoja akaja kumuhadaa yule shekhe ambae nae amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo nyeti ya ubosi wa kanda,
nataka tu kufahamu,
Je, shekhe nae anazijua fitna au atafedheheshwa Zaidi ya msigwa?π