Infiltrator
Senior Member
- May 13, 2017
- 126
- 227
He's just a good Whistleblower ambaye kwa dunia ya sasa ya Citizen Journalism anatakiwa na tunamhitaji kwa News.Huyu bwana kwani ni nani? Kila upoteaji na upatikanaji wa miili kabla ya police yeye ndio mtoa habari π€π€π€
Mkamateni sasa mkamuhoji.Anajua mpaka Namba ya mwisho kumpigia marehemu? Anyone....?!!!
Kwa hiyo nani anapaswa kuwa mtoa taarifa kama hizo?Huyu bwana kwani ni nani? Kila upoteaji na upatikanaji wa miili kabla ya police yeye ndio mtoa habari π€π€π€
View attachment 3091355
Natamani sana nikutukane lakini roho ya hekima inaniambia kumtukana mtu mpumbavu ni kujilisha upepo tuu kwani mtu kama huyo hana tofauti na hayawani!Narudia, hili genge liitwalo cdm lichunguzwe kwa karibu sana.
Tungekua face to face saa hii ningekua Centro policeNarudia, hili genge liitwalo cdm lichunguzwe kwa karibu sana.
CCM MWENZANGU. HII HOJA AMBAYO ALITUPA MWENYEKITI WETU ILIKUWA YA KIPUMBAVU. YULE JAMAA ANATUCHUKULIA SISI SOTE VILAZA. KUWA ETI TUMSINGIZIE BONI YAI KUWA ANAHUSIKA NA CHADEMA. WEWE UMEIBEBA KAMA ILIVYO? ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO DOGO.Huyu bwana kwani ni nani? Kila upoteaji na upatikanaji wa miili kabla ya police yeye ndio mtoa habari π€π€π€
View attachment 3091355