Boniface Jacob mtoa taarifa za awali za mara kwa mara za watu kutekwa na miili kuokotwa, kuna namna hapa sio bure

Boniface Jacob mtoa taarifa za awali za mara kwa mara za watu kutekwa na miili kuokotwa, kuna namna hapa sio bure

Infiltrator

Senior Member
Joined
May 13, 2017
Posts
126
Reaction score
227
Huyu bwana kwani ni nani? Kila upoteaji na upatikanaji wa miili kabla ya Polisi yeye ndio mtoa habari 🤔🤔🤔

IMG-20240909-WA0021.jpg

Pia soma
- Boniface Jacob: Ni lini Polisi Iringa itatoa taarifa ya miili ya vijana wawili iliyookotwa Wilaya ya Kilolo?
 
Unategemea nani awe wa kwanza kutoa taarifa wakati wanaotakiwa kuwa wa kwanza kutoa taarfa ndio watuhumiwa wenyewe,wakati wako kwenye harakati ya kuchakachua taarifa zao inabidi Boniphace awe kwanza kutoa taarifa kama zilivyo,kwa hiyo Boniphace ni mtoa taarifa kama zilivyo ambazo hazijachakachuliwa.
 
Magoli hamtayahamisha. Ex Mayor yeye na wenzake lazima wafatilie kiukaribu, watu wao waliopotea, kutekwa. Wanawajali lazima wapate taarifa kwa haraka. Hao unaowategemea watoe taarifa, wameshasema ni drama, unajaribu kusema nini kingine?

Safari hii Mungu aliamua kuwaanika mchana kweupe, kila aliyekaribu awaone. Wewe toka na SMG tu na wenzako mkateke mtu barabarani, kama jioni utaiona. Fanya hivyo uje utoe mrejesho hapa.
 
Huyu bwana kwani ni nani? Kila upoteaji na upatikanaji wa miili kabla ya police yeye ndio mtoa habari 🤔🤔🤔

View attachment 3091355
CCM MWENZANGU. HII HOJA AMBAYO ALITUPA MWENYEKITI WETU ILIKUWA YA KIPUMBAVU. YULE JAMAA ANATUCHUKULIA SISI SOTE VILAZA. KUWA ETI TUMSINGIZIE BONI YAI KUWA ANAHUSIKA NA CHADEMA. WEWE UMEIBEBA KAMA ILIVYO? ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO DOGO.
 
Back
Top Bottom