Boniface Jacob mtoa taarifa za awali za mara kwa mara za watu kutekwa na miili kuokotwa, kuna namna hapa sio bure

Boniface Jacob mtoa taarifa za awali za mara kwa mara za watu kutekwa na miili kuokotwa, kuna namna hapa sio bure

Watanzania wanataka utekaji ukomeshwe haijalishi nani anahusika kwahiyo kama mmejiridhisha au mnamtilia shaka mkamateni ili mradi msimfanye bangusilo(neno lilotumiwa na marehemu Ibrahim Msabaha akimaanisha kumuangushia jumba bovu).
Hatutaki ngonjera zenu.
 
Back
Top Bottom