Boniface Jacob: Ni lini Polisi Iringa itatoa taarifa ya miili ya vijana wawili iliyookotwa Wilaya ya Kilolo?

Boniface Jacob: Ni lini Polisi Iringa itatoa taarifa ya miili ya vijana wawili iliyookotwa Wilaya ya Kilolo?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
ANARIPOTI BONIYAI (BONIFASI JACOB)

Tarehe 23/8/2024 miili 2 ya vijana wanaokadiriwa kuwa na chini ya umri wa miaka 30 ikiwa na boksa imeokotwa wilayani Kilolo kata ya mahenge Kijiji Igemi ambayo askari polis waliichukuabaada ya kupewa taarifa na wana kijiji. Boni yai anauliza taarifa ya miili hii itatolewa lini? Mbona kimya?

NAOGOPA: Isije kuwa ya akina Soka, MUNGU wa mbinguni pisha kwa mbali!

Soma Pia:

==========

Aliyekuwa Meya wa Ubungo (Nov 2016 - May2020), Boniface Jacob ameandika hivi:

Kamanda Bukumbi shikamoo..!Vipi hiyo taarifa ya 23 August 2024 Kutupwa miili miwili ya vijana wawili wakiwa na chupi (boksa) wanaokadiliwa kuwa na umri chini ya miaka 30 wilaya ya Kilolo, Kata ya Mahenge, Kijiji cha Igemi ambayo askari wa Jeshi wa Polisi waliichukua baada ya kupewa taarifa na wanakijiji.Taarifa hii mtaitoa lini.? au tuendelee kuchimba chimba kupata taarifa kutoka kwa wanakijiji kisha tuitangaze wenyewe.?Wakati huu ambao Vijana wetu wamepotea ni muhimu sana kujua hao walio okotwa ni akina nani.? na wametolewa wapi hadi kuja kutupwa huko.Nipo bize Mahakamani kisutu,lakini najua hili lipo ndani ya uwezo wako.Ukishindwa nitakusaidia.

Boni Yai.PNG
 
ANARIPOTI BONIYAI (BONIFASI JACOB)
Tarehe 23/8/2024 miili 2 ya vijana wanaokadiriwa kuwa na chini ya umri wa miaka 30 ikiwa na boksa imeokotwa wilayani Kilolo kata ya mahenge Kijiji Igemi ambayo askari polis waliichukuabaada ya kupewa taarifa na wana kijiji.
Boni yai anauliza taarifa ya miili hii itatolewa lini? Mbona kimya?

NAOGOPA: Isije kuwa ya akina Soka, MUNGU wa mbinguni pisha kwa mbali!
Hatari
 
Hata kina Mpango na ukatoliki wote, kimya!

Yote madaraka tu?

Ama kweli kuingia mbinguni ni heri ya ngamia ...
 
Back
Top Bottom