Boniface Jacob: Ni lini Polisi Iringa itatoa taarifa ya miili ya vijana wawili iliyookotwa Wilaya ya Kilolo?

Ulisema mpango na ukatoliki wake wote lakini kimya kisa madaraka,hii ni shutuma kuwa serikali imehusika na mauaji hayo,acha kujitia ujanja wa kuzunguka

Kwa makasiriko yako haya, si bure.

Vipi nimepiga mule mule?

Au umewahi kumskia huyo ndugu au mwingine yeyote kuongelea watu kupotea?

Au kwenu watu kupotea ni sawa na kuku kupotea tu?
 
Kwa makasiriko yako haya, si bure.

Vipi nimepiga mule mule?

Au umewahi kumskia huyo ndugu au mwingine yeyote kuongelea watu kupotea?

Au kwenu watu kupotea ni sawa na kuku kupotea tu?
Unataka rais,makamu wa rais',waziri mkuu, mawaziri wote,wakuu wa mikoa nk wazungumzie hilo suala, Ili iweje?
 
Hali si hali tena
 
Hebu Mungu mlinde Soka jamani, na wote wanaopotea kwa mazingira ya kutatanisha. Na anaefanya hivi kifo kimlambe kwa jina la Yesu
 
Mimi nilikuwa najiuliza hv kweli bunge na sirikali wanakaa wanatunga Sheria ya kwamba ikibainika usalama wa taifa ameaua asishtakiwe.
ISIKIE KWA MWINGINE SIKU IKIKUFIKA NDUGU YAKO AMETEKWA SIDHANI KAMA UTALICHUKULIA POA
 
Hatari sana hii, kilolo ipo mkoa gani?
 
Hv ninandika hapa mjomba wangu aliwahi kukamatwa kituo Cha polisi kwa kosa ambalo halijui na Bado akanyimwa dhamana tukaenda tukaenda RPC akagoma tukaenda kwa mkuu wa mkoa(tulimwandikia barua) akagoma tukaenda HQ takukuru Bado wakachomoa.
(Documents ninazo)
This is a painful story
 
Ikawaje alitoka au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…