Ndio imegeuka kazi yao ya usiku kuzunguka kwenye ma bar na kukusanya hela unakuta kwenye bar moja zinakuja hata Gari zao zaidi ya 3 mida tofautitofauti kuchukua helaHii ni hatari sana si uongo jeshi la polisi usiku kazi yao wamegeuka watu wakuzunguka kukusanya Black Tax, sasa sijui ni nani huwa anawatuma hizo hela ?
Makahaba hawataisha duniani hawastahili kuuliwa ingekuwa wanauliwa mashoga ningesema sawa.Lakini kitendo cha kuwawinda madada poa siyo kizuri,utengenezwe utaratibu ambao utawaondoa kwenye hiyo boiashara bila kuwabughudhi.Mshahara wa dhambi ni mauti, ukahaba nao ni tatizo
Hatari sanaNdio imegeuka kazi yao ya usiku kuzunguka kwenye ma bar na kukusanya hela unakuta kwenye bar moja zinakuja hata Gari zao zaidi ya 3 mida tofautitofauti kuchukua hela
Ni lazima Jeshi liwe hivyo ili litumwe kiwehuwehu na wanaowatuma, watu critical watagomea kazi za kijingaPia Kuna haja ya kubadili selection criteria ya recruits wa police. Hamna sababu ya kuchukua wale walioshindwa na maisha sehemu nyingine na kuwafanya police. Inabidi wanaochaguliwa wawe ni wale ambao akili yao imetimia with critical thinking na uwezo mkubwa wa uvumilivu. Sio unachukua mtu ambaye akinyimwa rushwa au bia anakoki mashine. Haikubaliki
We Meya ambaye hakuchaguliwa ofisi zako zi wapi?View attachment 2828910
View attachment 2828922
View attachment 2828921
1. Polisi wawili waua kwa risasi mlinzi wa Bar maarufu ya Boardroom iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam.
2. Mlinzi waliyeuwawa kwa risasi anaitwa Razak Anan mwenye umri wa miaka 29 muajiriwa wa Bar ya Boardroom, Sinza
3. Polisi kutoka kituo cha Polisi Mabatini walifika na gari na kupaki nje ya Bar ya Board room na kuanza msako wa Dada poa kwa kusema ni agizo la Mkuu wa Mkoa.
4. Lakini Polisi hao walikuwa wakiwatoa nje wahudumu na wateja katika Bar hiyo ambao walikuwa na min skirt (sketi fupi) kwa kusema kuwa watu hao kwa mavazi yao walikuwa wanajiuza katika Bar hiyo ya usiku (night Club)
5. Wateja wengine walipona udhalilishaji na manyanyaso hayo walianza kuondoka katika Bar hiyo ya Boardroom na waliobakia waligoma kutolewaa nje ya Bar kwa muonekano wa mavazi yao.
5. CCTV za Bar ya Board room inayonyesha Polisi hao walipoona wadada wanakata kufananishwa na machangudoa walienda katika gari na kuchujua silaha aina ya bunduki (SMG) na kuanza kutishia wateja na kuelekezea katika meza za wateja waliokuwa wanakunywa katika Bar hiyo.
6. Polisi hao ambao walikuwa wanaonekana wametumia kilevi walifyatua risasi kadhaa kisha kuondoka na gari yao kutoka eneo hilo la Bar ya Boardroom na baada ya kuondoka wateja walirejea na kukuta mlinzi mmoja wapo akiwa amelala chini akiwa amepigwa risasi na kuvuja damu nyingi (video inaonyesha damu ya marehemu)
7. Mlinzi wa Board room alifariki njiani akiwa katika Bajaji anakimbizwa hospitali.
8. Matukio ya polisi kuvamia sehemu za starehe na nyumba za watu binafsi ni maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambaye anaendesha zoezi la kutafuta madanguro na kusaka madada poa.
9. Leo Mkuu wa Mkoa amesisitiza mauaji kufanywa na polisi ni Jambo la kawaida "Mtu akifia kituo cha polisi tunasema Polisi wameua, Mtu akifia hospitali tunasema ni Mapenzi ya Mungu" RC-DSM, Chalamila
10. Nawakumbusha kulaani tukio lolote la Polisi kuua raia kwa kisingizio chochote kile, Leo kwa huyu kesho kwake.
Boniface Jacob EX Mayor Ubungo
Pia soma >>> Polisi kuua mlinzi wa bar Dar: Je, Chalamila anakwepaje kuwajibika?
Kwani aliyeuawa alikuwa kahaba?Mshahara wa dhambi ni mauti, ukahaba nao ni tatizo
Lakini kufanya police kama jeshi ndio matatizo... Pia kama unataka polisi wafanye kiwehuwehu tusilalamike wakiua kirahisi. Pia tuendelea kusubiri matukio mengi ya aina ya SinzaNi lazima Jeshi liwe hivyo ili litumwe kiwehuwehu na wanaowatuma, watu critical watagomea kazi za kijinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukahaba ni tatizo kwanani?????????Mshahara wa dhambi ni mauti, ukahaba nao ni tatizo
Badilisha kichwa cha habari sema wameua kwa maagizo ya RC.
Maana yeye ndo ndo kamrisha polisi wasake wanaojiuza sasa sijui wana alama gani? Siku ikitokea makahaba wenye akili wakaishtaki selikal ndio siku watakayo tajirika kwa fidia za udhalilishwaji.
Nawashaurini enyi watanzania mnaotafuta kwa ajili ya watoto wenu na wazaz wenu, ukion mtu amekuja na silaha, kaa nae mbali.View attachment 2828910
View attachment 2828922
View attachment 2828921
1. Polisi wawili waua kwa risasi mlinzi wa Bar maarufu ya Boardroom iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam.
2. Mlinzi waliyeuwawa kwa risasi anaitwa Razak Anan mwenye umri wa miaka 29 muajiriwa wa Bar ya Boardroom, Sinza
3. Polisi kutoka kituo cha Polisi Mabatini walifika na gari na kupaki nje ya Bar ya Board room na kuanza msako wa Dada poa kwa kusema ni agizo la Mkuu wa Mkoa.
4. Lakini Polisi hao walikuwa wakiwatoa nje wahudumu na wateja katika Bar hiyo ambao walikuwa na min skirt (sketi fupi) kwa kusema kuwa watu hao kwa mavazi yao walikuwa wanajiuza katika Bar hiyo ya usiku (night Club)
5. Wateja wengine walipona udhalilishaji na manyanyaso hayo walianza kuondoka katika Bar hiyo ya Boardroom na waliobakia waligoma kutolewaa nje ya Bar kwa muonekano wa mavazi yao.
5. CCTV za Bar ya Board room inayonyesha Polisi hao walipoona wadada wanakata kufananishwa na machangudoa walienda katika gari na kuchujua silaha aina ya bunduki (SMG) na kuanza kutishia wateja na kuelekezea katika meza za wateja waliokuwa wanakunywa katika Bar hiyo.
6. Polisi hao ambao walikuwa wanaonekana wametumia kilevi walifyatua risasi kadhaa kisha kuondoka na gari yao kutoka eneo hilo la Bar ya Boardroom na baada ya kuondoka wateja walirejea na kukuta mlinzi mmoja wapo akiwa amelala chini akiwa amepigwa risasi na kuvuja damu nyingi (video inaonyesha damu ya marehemu)
7. Mlinzi wa Board room alifariki njiani akiwa katika Bajaji anakimbizwa hospitali.
8. Matukio ya polisi kuvamia sehemu za starehe na nyumba za watu binafsi ni maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambaye anaendesha zoezi la kutafuta madanguro na kusaka madada poa.
9. Leo Mkuu wa Mkoa amesisitiza mauaji kufanywa na polisi ni Jambo la kawaida "Mtu akifia kituo cha polisi tunasema Polisi wameua, Mtu akifia hospitali tunasema ni Mapenzi ya Mungu" RC-DSM, Chalamila
10. Nawakumbusha kulaani tukio lolote la Polisi kuua raia kwa kisingizio chochote kile, Leo kwa huyu kesho kwake.
Boniface Jacob EX Mayor Ubungo
Pia soma >>> Polisi kuua mlinzi wa bar Dar: Je, Chalamila anakwepaje kuwajibika?
Makahaba hawataisha duniani hawastahili kuuliwa ingekuwa wanauliwa mashoga ningesema sawa.Lakini kitendo cha kuwawinda madada poa siyo kizuri,utengenezwe utaratibu ambao utawaondoa kwenye hiyo boiashara bila kuwabughudhi.Mshahara wa dhambi ni mauti, ukahaba nao ni tatizo
Imani yako isiharibu usitawi jamii zingine,mbona wewe hujafa na imani yako?Walevi na makahaba pamoja na supportive wao wafe tu.
Huyo mlinzi alikuwa analinda makahaba
Tena wewe unaweza kuwa ni mdhambi mkubwa kabisa kuliko hata hao makahaba. Idiot!Mshahara wa dhambi ni mauti, ukahaba nao ni tatizo
Pengine utakuta hilo ni liuaji au liuchawi.Tena wewe unaweza kuwa ni mdhambi mkubwa kabisa kuliko hata hao makahaba. Idiot!
Siyo ''pengine utakuta'' bali ndivyo ilivyo. Mijitu kama hii unakuta imefanya ufisadi na mamia ya watu wanakufa kwa ajili ya kukosa dawa halafu hapa linabwabwaja kama lishetani. Kwani Mungu hawaoni hao makahaba? Kwa nini asiwaue?Pengine utakuta hilo ni liuaji au liuchawi.
Hakuna kitu kama Samia kuwafanyie favour wananchi waliolala fofofo. Aidha wajue haki zao na kuzidai au waendelee kupukutishwa.And so the police expected to find people with hijabs at the boardroom bar hall?
What a wicked police jeshi?
The police in Tz is a legally organized and trained group of gangtsers under the ruling group of balded heads called sisi ni em. I pity them.
Rais Samia if you get to read this, pls do us a favour by restructuring the whole police system in Tz au mpaka usikie tunakamata mmoja mmoja tunaua huku mitaani? Tunaishi nao huku.
Jamani haya mambo hayajanza leo. Polisi wa hapo Mabatini hizi ndiyo deal zao. Bar na guest house zote zilizopo mitaa ya Sinza (mpaka zile bubu) huwa wanazunguka na silaha kudai rushwa kwa nguvu. Siku moja nilikuwa nakatiza mbele ya guest bubu moja nikakutana na polisi ameshika bastola kama yuko tayari kupambana na majambazi, anaingia ndani ya guest kudai rushwa.Kama ni kweli basi baadhi ya viongozi nchi hii ni wa ajabu sana. Watanzania wana kero matatizo mengi (Kupanda kwa bei ya mafuta sanjali na nauli, kupanda kwa bei ya vyakula, uhaba wa mbolea, umeme, mfumuko wa bei, kukosekana kwa dolar, kikokotoo na madhara yake kwa wastaafu, na kadhalika) ambayo yanahitaji majawabu yakinifu lakini kodi ya umma leo inatumika kukamata waliovaa mini-skirt wakiwa night club na kusababisha mauaji.