Boniface Jacob: Polisi walioua Mlinzi wa Bar ya Boardroom Sinza wadaiwa kutumwa na RC Chalamila kukamata Wanaojiuza

Na sheria ya Rushwa haipo toka mkoloni, mbona hiyo haifuatiliwi. Na mazao ya rushwa ndio chanzo cha mmomonyoko wa maadili katika jamii na kazi.
Inafatiliwa, rushwa inafanyika kwa siri, ripoti takukuru kila unapoombwa rushwa.

Nchi yenye mafanikio, wananchi wote wanawajibika.

Mtowa rushwa na mpokea rushwa wote wawili wana makosa. Kumbuka hilo.
 
Muambieni Chalamila hilo jiji ni gumu sana waliomtangulia waliruka sarakasi nyingi mwisho wa siku waliliacha kama walivyolikuta
 
Inafatiliwa, rushwa inafanyikankwa siri, ripoti tak6kuru kila unapoombwa rushwa.

Nchi yenye mafanikio, wananchi wote wanawajibika.
Kwa hiyo yale madude ya February yanafuatiliwa. Maana hayo yanawatamanisha, waandishi WA habari, wanasheria, polisi n.k
 
Kwa hiyo yale madude ya February yanafuatiliwa. Maana hayo yanawatamanisha, waandishi WA habari, wanasheria, polisi n.k
Watu tupo November, wewe unaongelea February.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Ukahaba ndo nini?? Watanzania wa jinsia ya kike hawana uhuru ktk nchi yao?? Kwa matukio haya ni vipengere vipi vya kisheria viongozi wanatumia ktk kuhangaika na hao wanaoitwa makahaba?
 
Huyu chalamila si aliwahi kuagiza huko mbeya baa zifunguliwe saa zote watu wanywe bia? Sasa kwa dsm amegeuza kibao.
 
Kuna mtu mmoja amewahi kusema, "haogopi kile kilichosemwa na kiongozi, anaogopa kile walichosikia askari"
 
Na stiki yake mdomoni si ndio chimbo lake lile na huku kitwiru anatuuzia kabisa ana duka la pombe Sasa inakuwaje anajifanya mhafidhina hivyo aachage ujinga hyu blaza
Sasa RC anatembea na mwanamke wa namna ile? Pale si anajidharirisha na kuudharirisha URC wake?
 
Nchi bado ina deal na mambo ya ajabu ajabu,hakuna anaeweza kuuondoa ukahaba,hakuna anaeweza kuuondoa wizi,ulevi, ujinga,tamaa,upole,ukali,useng,usag,,vivu ,tamaa,ukatili,ila tunaeza kuindoa rushwa,ila ukiwaambia njia za kufanya kuondoa rushwa wanajifanya kama hawasikii ,wala rushwa ni kikundi kidogo sana,
 
Ndani ya baa hawaruhusu watoto chini ya miaka 18 kwa sababu ndani ya baa kuna mambo ya watu wazima likiwemo la kukaa uchi, pombe si maji.
 
Kama ni kweli basi kijana Chalamila atakuwa anajitia matatizoni na wabunge pamoja na mawaziri wetu maana hawa ndiyo wateja wakubwa wa madada poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…