Boniface Jacob: Rais Samia tunaomba Afande Mafwele anayetuhumiwa kumteka Sativa achunguzwe

View attachment 3120462

Huyu kijana simfatilii uko twitter kabisa ila story yake ya kutekwa ninaifahamu.

Nilichostuka ni kukutana na post yake Instagram ikiwa imelipiwa kama tangazo ili iweze kuwafikia watu wengi.

Nikajiuliza huyu kijana jobless aliyetoka kuchangiwa matibabu anapata wapi pesa za kurusha matangazo Instagram?

Yeye ananufaika nini na post kama hizi zikienda viral?

Mimi sijamfollow Instagram ila amelazimsha nikutane na post yake kwa kuwa kalipia mapesa mengi lengo ni watu kama sisi tusio mfollow tuone post zake.
Mambo ya kulipia matangazo tunayaona kwa wafanyabiashara sababu wanategemea kupata faida sasa huyu anafaidika nini?

NANI YUPO NYUMA YA SATIVA?
Ndio kaa ujue bongo kuna ufala mwingi!
 
Inabidi kuuliza pia Mafwele anatumwa na nani kuwaua anaowaua
 
Budget anatoa wapi na hana kazi anajiuguza yupo kitandani?

We mpuuzi, it is just $50 tu sawa na 120,000; unajua Lisu alichangiwa mpaka 2000 kwa ajili ya kununua gari? Unajua ticket ya ndege return Brussels ni bei gani? Lisu katoa wapi zaidi ya 4m kwa ajili ya ticket wakati tulimchangia hela zetu kununua gari?

Unakuwa tu mpuuzi kuuliza maswali ya hovyo!
 
Mnatuchosha sana na haya mahabari yenu yasiyo kuwa na kikomo.

Hao watu ulio waorodhesha hapo wewe unadhani ni mjuaji zaidi kuliko walivyo wao?

Nimeshindwa hata kusoma hilo tangazo zima
Sio lazima u some mkuu!
 
We mpuuzi, it is just $50 tu sawa na 120,000; unajua Lisu alichangiwa mpaka 2000 kwa ajili ya kununua gari? Unajua ticket ya ndege return Brussels ni bei gani? Lisu katoa wapi zaidi ya 4m kwa ajili ya ticket wakati tulimchangia hela zetu kununua gari?

Unakuwa tu mpuuzi kuuliza maswali ya hovyo!
Sativa hata kula yake ni ya shida, anapata wapi pesa za kuset tangazo?
 
Pia kuna taarifa kuwa ana UKWASI wa kutosha. Hizo mali zimeorotheshwa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma?
 
Back
Top Bottom