Boniface Jacob: Rais Samia tunaomba Afande Mafwele anayetuhumiwa kumteka Sativa achunguzwe

Sisi tusiokuwepo huko umeruletea huku asante, Mafwele must go.
 
Ndio kaa ujue bongo kuna ufala mwingi!
 
Inabidi kuuliza pia Mafwele anatumwa na nani kuwaua anaowaua
 
Budget anatoa wapi na hana kazi anajiuguza yupo kitandani?

We mpuuzi, it is just $50 tu sawa na 120,000; unajua Lisu alichangiwa mpaka 2000 kwa ajili ya kununua gari? Unajua ticket ya ndege return Brussels ni bei gani? Lisu katoa wapi zaidi ya 4m kwa ajili ya ticket wakati tulimchangia hela zetu kununua gari?

Unakuwa tu mpuuzi kuuliza maswali ya hovyo!
 
Mnatuchosha sana na haya mahabari yenu yasiyo kuwa na kikomo.

Hao watu ulio waorodhesha hapo wewe unadhani ni mjuaji zaidi kuliko walivyo wao?

Nimeshindwa hata kusoma hilo tangazo zima
Sio lazima u some mkuu!
 
Sativa hata kula yake ni ya shida, anapata wapi pesa za kuset tangazo?
 
Pia kuna taarifa kuwa ana UKWASI wa kutosha. Hizo mali zimeorotheshwa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…