Boniface Jacob: Rais Samia tunaomba Afande Mafwele anayetuhumiwa kumteka Sativa achunguzwe

Huyu boni nae awe makini..
Matukio anayoibua kuna viongozi wanaumia sana
Kwa hiyo akae kimya kwa sababu viongozi wanaumia? Well, viongozi Wanaumia kuliko wanavyoumizwa wanaotekwa, wazazi, ndugu na jamaa wa wanaotekwa? Kuwa serious basi jamaa yangu!!
 
Ndugu waTanzania tusiwe kama nyumbu......yaani muda huu yupo sehemu anakunywa bia anatucheka maana anajua mtaishia kubweka bweka tu lakini hamuwezi kumfanya chochote......yaani kamtu kamoja kanateka watu na kanatajwa hadharani lakini mamlaka inamkalia kimya......

Wanasheria pelekeni shauri mahamakani.....huyu mbwa apate haki yake.......
 
Huyu ACP ana tuhuma nyingi kama hizi tangu zamani sana
 
Huyo Mafwele atahojiwa na nani?
 
Kama ni kweli mama hafahamu haya yanoyotekea. Lazima akubali hao Scotland Yard waje kufanya uchunguzi.

Akigoma, ujuwe anajuwa.
 
Kupitia siasa imeshindikana, kupitia mahakama hatafungwa kwa sababu wanamtumia wao kutimiza mambo yao ya mauaji na utekaji. Huyu jamaa Mafwele sijui Mafyele ana tuhuma nyingi sana na inaonekana Jeshi la Polisi halina uwezo kufanya lolote na yeye anauwezo wa kumfanya chochote mtu yoyote !!

Sasa tunoyeshe nguvu ya umma tu kama wiaslamu watatuunga mkono well amd good lakini natamani wakristo wote tunapoingia jpili kusali tunatoa sadaka , tunaomba kisha tunarudi barabarani.
La tukubali kukaa na kuishi mwenye nchi iliyojaa damu na udhalimu, na dhuluma , isiyo na haki iliyojaa unyanyasajibwa raia na uongozi usiotenda haki. Hapo mtaendelea kuhubiri injili hewa isiyo na maana mtakua kama mafarisayo kuhubiri msiyo yatenda. Serikali dhalimu isiyolinda na kusikiliza wananchi wake haifai hata kidogo. Ulinzi wa mwananchi unatakiwa uwe wa Kwanza mengine ndio yafuate. Yule mama ni Rais lakini anaendesha nchi kama familia kuna saa hiwezi endesha nchi hivyo anavyoendesha hata familia ikitokea jambo la taharuki mnakutana wanafamilia wote kulitafutia ufumbuzi. Huyu katutupa , majibu yake mepesi kwa maswali magumu ya usalama wa Raia. Bunge nalo limetutupa hatuna tena mahali tutaponea. Kama wameweza kuteka mtu mchana kweupe mbele za watu na wakamuua unafikiri kuna jambo wanashindwa ?
Huyu ndio Mafwele mwenyewe anaelalamikiwa kila kona hadi humu JF na hakuna kitu mtu anaweza kumfanya. Jitu jeusi, refu lenye sura ya kutisha na sauti nzito akiwa na kikosi cha wadada 2 na wakaka 2 ambao humpigia saluti kila anapokutana na mateka.......Tanzania imekua nchi ya ajabu ..... inanukaaaaaa DAMU , ardhi yake imetapakaaaa DAMU. DINI nazo za Kinafiki , mnaombaje maombi juu ya ardhi mnakanyaga DAMU zinazolia ??? ACHENI UNAFIKI WA KIFARISAYO
 
Wewe ni mpuuzi sana unaleta siasa kanisani

USSR
 
Kiunganisho cha alicho sema Lissu Kwa Kipilim
 
Wapuuze na hili Sasa na Nina Imani hata Kama hataliona hili Kuna vijana wake wata mpa taarifa

Ifike mda uovu ujitenge na wema Kisha inchi isonge mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…