Boniface Jacob: Roho ya Thadei Ole Mushi yaiandama CCM

Yaaaani Chadema washaona ni ajenda kwao.

Kwa kweli kama uwo ndo upinzani taifa bado lina safar ndefuuu san na ccm itaendelea kutawala miaka mingi sanaaaaa
Ila uuaji wa CCM ndio uongozi? Rubbish. lazima kuwa suspicious na watu wasioaminika. Mtu anakataa tume huru, huyu ni kumwamni? anaogopa nini tume huru? si muuaji wa demokrasia.
Dunia nzima zina tume huru za uchaguzi, sasa wewe unaogopa nini kama siyo muuaji?
 
Ccm ni taasisi kubwa una uhakika gan kama Ccm ndo iliyomua ?
Uhuni wa watu wachache usikufanya ukaihukumu taasisi nzima.
Tume huru iwekwe leo basi bado ccm inayo nafasi kubwa san ya kushinda kuanzia ngazi ya urais mpaka udiwani.

Tanzania bado ina wajinga wengi sana ukitaka kuthibitisha ilo angalia mikutano ya makonda anavyokuwa na nyomi la watu.

Kwa miaka iliyokaa mdarakani ccm kutawala na ukilinganisha na maendeleo yaliyopo ccm ilitakiwa iwe ishondolewa madarakan kitambo sana ila kwakuwa wajinga ni wengi san nchii hii, nao Ccm wanatumia mtaji uwo kubaki madarakani.
 
Hatari kubwa kwa taifa letu ni wananchi hasa vijana wanaotetea uovu wa wenye mamlaka na kuacha kuahoji kuhusu haki na kufuata maadili. Wasichojua wanafanya kilekile walochofanya baadhi ya mababu zetu kuwafunga wenzao na kuwauza kwa waarabu.
 
Uzuri wa Migombani mko Wamoja 🐼

Uchadema na Uccm ni mkiwa Mjini Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…