Boniface Jacob: Roho ya Thadei Ole Mushi yaiandama CCM

CCM ni wa mutiliwa sana mashaka kwani ina uzoefu mkubwa katika kuwanyima watu haki ya kuishi, na ndiyo maana yule kinara ambaye uwezo wake wa kukatisha watu haki ya kuishi umejulikana hata nje ya mipaka ya nchi, wamempa nafasi ya uenezi, yumkini ili aweze kueneza huo unyama wao.
 

Kama CCM ina uhakika wa kushinda, kwa nini inakataa tume huru ya uchaguzi? Kukataa kuwa na tume huru ya uchaguzi ni ushahidi tosha kuwa CCM inatambua kwenye uchaguzi wa haki, haiwezi kushinda.
 
Kama CCM ina uhakika wa kushinda, kwa nini inakataa tume huru ya uchaguzi? Kukataa kuwa na tume huru ya uchaguzi ni ushahidi tosha kuwa CCM inatambua kwenye uchaguzi wa haki, haiwezi kushinda.
Ccm imeshajuaa nchii wajinga ni wengi sana ndio maana hawataki kuweka tume huru na hakuna lolote wananchi wajinga wanaweza kufanya.
 
Yaaaani Chadema washaona ni ajenda kwao.

Kwa kweli kama uwo ndo upinzani taifa bado lina safar ndefuuu san na ccm itaendelea kutawala miaka mingi sanaaaaa
CHADEMA ipi? Punguza unafiki. Yani Jambo lolote likiulizwa na raia umekimbilia agenda ya CHADEMA. Yani Raia wasiulize kitu kisa wataambiwa ni CHADEMA.
 

Kama hujui kitu Kaa kimya , sio kuropoka ukidhani kila mtu ni mjinga kamaa wewe. Sikia ewe chawa wa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…