PreGE2025 Boniface Jacob: Tunataka ufike wakati uchaguzi ufanyike bila hata sisimizi kuumia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
"Chadema tunachokitaka tunataka uchaguzi wa kistaarabu sisi diwani tunapata ,wenyeviti wa mitaa tunapata na mbunge tunapata lakini tunapata kwa maumivu makubwa sana"

"Ndiyo maana tumesema hatutaki uchaguzi wa kumwaga damu kwa sababu ili nishinde ubunge wa mikumi kwa mfano na wananchi kama nyinyi tukiamua twende kwa mtendaji wa kata na halmashauri siku mbili wakasema wananchi hawaondoki tangaza matokeo, watatangaza"

"Lakini baada ya hapo mbunge wetu anaenda Dodoma huku nyuma kuna watu tunazika ndio maana tunapita nchi nzima kuwaambia CCM kama hakuna mabadiliko Chadema hatutaki shida na mtu hatushiriki je hilo ni jambo baya au zuri?"

1749287557579.png
 
Gs1pdaUa4AAX_4G.jpeg
 
Back
Top Bottom