PreGE2025 Boniface Jacob: Walimu na Polisi wanaisaidia CCM kuihujumu Chadema wakati wa Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob awashukia vikali walimu na askari Polisi adai wanahusika kuihujumu CHADEMA kwenye nyakati za uchaguzi.

Walimu na polisi waondolewe kwenye zoezi la upigaji kura.
Watumike Jana wote walio maliza vyuo ambao hawana ajira, kusimamia uchaguzi badala ya hilo kundi.
 
Kila kundi Chadema ni kulaumu tu mara kuanzia Viongozi wa dini,polidi,walimu ,simbs ns yanga,wasomi nk

Yaani bure kabisa
 
Kikubwa u-makini kama kituo kinawapigakura 300 halafu walimu wa tano wanasimamia kweli wapiga kura wote hao washindwe kuwazibiti hao walimu?
 
Gombea nafasi ya uongozi kupitia Cha Cha upinzani utawaelewa.
Ukipitia kamati za siasa za CCM ngazi ya Kata, Wilaya,Mkoa utaelewa kuwa CCM na serikali ni wale wale.
Muhimu CDF afanye yake!
 
Kikubwa u-makini kama kituo kinawapigakura 300 halafu walimu wa tano wanasimamia kweli wapiga kura wote hao washindwe kuwazibiti hao walimu?
Issue ni wakati wa kuhesabu kura na kumtangaza mshindi
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob awashukia vikali walimu na askari Polisi adai wanahusika kuihujumu CHADEMA kwenye nyakati za uchaguzi.

CHADEMA hawajui siasa
Siasa ni kutafuta kuungwa mkono na makundi yote wakiwemo walimu na polisi na familia zao na washabiki wa timu kama simba na yanga
 
Kila kundi Chadema ni kulaumu tu mara kuanzia Viongozi wa dini,polidi,walimu ,simbs ns yanga,wasomi nk

Yaani bure kabisa
Uchaguzi ungekua huru hawa akina kigwangallah wanaosema vijana wajiajiri wangetakiwa kua nje
 
Back
Top Bottom