ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Sasa unalinganisha vipi kati ya jengo na Meli chakavu iliyonasa kwenye tope la dimbwi?Kwani simba mtapata ubingwa???! Mtasubiri sana FA mmepigwa mapemaaaaaa asubuhi, pambaneni na hali zenu jengo lenu pale uchochoroni kariakoo huwezi linganisha na la jangwani jipimeni
Ingekuwa simba hapo Hanspope angekuwa ameshachomoa bastola na mikwaraYanga wastaarabu sana... Wanaongea kwa nidhamu ya hali ya juu na kiongozi wao, wala haukua mgogoro,...
Hahaaa. Swahiba hivyo hakuna la kushangaza hapo. Si etii.Hiyo ni kawaida sana kwa washabiki wa hivi vilabu vyetu vikongwe
Mleta uzi akija unishtue swahibaHahaaa. Swahiba hivyo hakuna la kushangaza hapo. Si etii.
CC Mleta Uzi. Lol.