Boniface Mkwasa anusurika kichapo kutoka kwa mashabiki wa Yanga SC

Boniface Mkwasa anusurika kichapo kutoka kwa mashabiki wa Yanga SC

Yanga hawajazoea kuona wanakosa ushindi, hapo ni matokeo ya Suluhu, wangefungwa sijui hali ingekuwaje.
Na mechi ijayo wanafungwa na Azamu sijui hali itakuwaje Jangwani
Mi hiyo mechi sitaenda uwanjani lolote linaweza kutokea.
 
Kwani simba mtapata ubingwa???! Mtasubiri sana FA mmepigwa mapemaaaaaa asubuhi, pambaneni na hali zenu jengo lenu pale uchochoroni kariakoo huwezi linganisha na la jangwani jipimeni
 
Mimi ni GONGO wazi fc damu,, ila simba wapo vzr sn,, jamaa wanajuwa mpira,, kuna mafundi Wengi mno,,, na mpira wa kitabuni,, mbaya zaidi yule MGANDA MZEE,,, amerudi,, safari hii MMEKWISHA GONGO WAZI FC,,,, sisi 5 wao 0...
 
Simba mmekaa EDA miaka mitano kama mjane mzee...raundi ya kwanza mnawaza ubingwa wakati mnaongoza kwa tofauti ya pointi mbili..hamjui Azam ni contender au mnamtazama Yanga tu..Rage waonee huruma futa lile neno Mbumbumbu FC
 
Back
Top Bottom