Boniface Mwabukusi kamkosea nini Mbowe?

Boniface Mwabukusi kamkosea nini Mbowe?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Boniface Mwabukusi
@Mwabuk2Boniface
·
1h
Walio dhihaki TLS kuhusu Samia Legal Aid? Vipi leo wamesema lolote kuhusu TBC LIVE Coverage?hawawezi kusema 🤣🤣🤣
Hivi huyu jamaa anapambana na Mbowe kamfanya nini? Hivi kweli TL kaihamishia ccm lumumba badala ya kwa wanasheria wenziwe?
 
Wanasheria ni wapenda mageuzi au Quran inasemaje?!
 
Boniface Mwabukusi
@Mwabuk2Boniface
·
1h
Walio dhihaki TLS kuhusu Samia Legal Aid? Vipi leo wamesema lolote kuhusu TBC LIVE Coverage?hawawezi kusema 🤣🤣🤣
Hivi huyu jamaa anapambana na Mbowe kamfanya nini? Hivi kweli TL kaihamishia ccm lumumba badala ya kwa wanasheria wenziwe?
Kumbe mnakubali kuwa Huwa mnaropoka tuu ila Samia yuko sahihi.

Ni wazi SSH amewashika pabaya sana msimu huu na Bado
 
Ukweli lazima usemwe anasema ukweli nchii watu vilaza sana
Ukweli upi mkuu Mbowe akiwata road hamtoki lissu akiwaita road hamtoki amewashitukia unafiq wenu bora abaki na chama chake kuliko kubaki na watu waoga!
 
Back
Top Bottom