Wanasheria ni wapenda mageuzi au Quran inasemaje?!Boniface Mwabukusi
@Mwabuk2Boniface
·
1h
Walio dhihaki TLS kuhusu Samia Legal Aid? Vipi leo wamesema lolote kuhusu TBC LIVE Coverage?hawawezi kusema 🤣🤣🤣
Hivi huyu jamaa anapambana na Mbowe kamfanya nini? Hivi kweli TL kaihamishia ccm lumumba badala ya kwa wanasheria wenziwe?
Yeye mwenyewe Tl kaipeleka ccm lumumbaUkweli lazima usemwe anasema ukweli nchii watu vilaza sana
..ukiwemo wewe!Ukweli lazima usemwe anasema ukweli nchii watu vilaza sana
Kumbe mnakubali kuwa Huwa mnaropoka tuu ila Samia yuko sahihi.Boniface Mwabukusi
@Mwabuk2Boniface
·
1h
Walio dhihaki TLS kuhusu Samia Legal Aid? Vipi leo wamesema lolote kuhusu TBC LIVE Coverage?hawawezi kusema 🤣🤣🤣
Hivi huyu jamaa anapambana na Mbowe kamfanya nini? Hivi kweli TL kaihamishia ccm lumumba badala ya kwa wanasheria wenziwe?
Ukweli upi mkuu Mbowe akiwata road hamtoki lissu akiwaita road hamtoki amewashitukia unafiq wenu bora abaki na chama chake kuliko kubaki na watu waoga!Ukweli lazima usemwe anasema ukweli nchii watu vilaza sana