Boniface Mwabukusi ulianza vizuri, sasa unaharibu kwa kuwaponda mlio na lengo moja na waliokutangulia katika kutetea taifa hili toka makucha ya CCM

Boniface Mwabukusi ulianza vizuri, sasa unaharibu kwa kuwaponda mlio na lengo moja na waliokutangulia katika kutetea taifa hili toka makucha ya CCM

Kwamba hakuna asiyeona kuwa lengo lake Mwabukusi ni zuri, kulikoni baadhi yenu kutojikita katika mazuri yake na kushirikiana naye kwenye ukombozi badala ya kujipanga kumkwamisha au kumwonbea kushindwa?

Kwamba mmejipanga kuwa adui yakena mnamwombea njaa?

Hamuoni kuwa mnajianika kuwa hamko tayari kukosolewa? Kwa ku kupaniki kwenu huku mtakuwa mnawapa tabasamu kubwa Lumumba.

Kwamba leo mnaungwa mkono hata na kina johnthebaptist, FaizaFoxy, Lucas mwashambwa, @act, polisi na hata wasiojulikana dhidi ya Mwabukusi na wenziwe na Bado hamjishangai ni jambo la fedheha kubwa ndugu zangu ..
Kumbe uko hivyo, nilikuwa sikujui, I was ranking you as one of the think tanks wa JF, kumbe....kwaheri!
 
Kwa hiyo mtu akiwasema CHADEMA ni kosa? Tatizo la chama hiki ni kujinasibu kupigania demokrasia wakat huo huo hakitaki ku exercise demokrasia

Nashawishika kuhitaji kutofautisha CHADEMA na chawa. Sidhani huu ni msimamo wa CHADEMA hii hii tunayoijua ..
 
Kumbe uko hivyo, nilikuwa sikujui, I was ranking you as one of the think tanks wa JF, kumbe....kwaheri!

Sikudhani uko empty hivi ndugu. Zaidi sana unazidi kujiabisha tu. Mnachukia watu kama watu? Chukieni hoja si watu.

Kutokuwapo na adui wa kudumu hakuna maana yoyote kwenu? Maslahi mapana Kwa ajili ya ukombozi hayana maana yoyote kwenu?

Makosa ya Mwabukusi ni kukosoa? Kwani Mbowe au chadema ni untouchables Kwani ndani ya Chadema mko nyie peke yenu?

"Si nyie peke yenu wenye dhima na chama hiki ndugu. Msituharibue chama wala rythm ya ukombozi."

Yanapokuja maslahi ya wananchi dhidi ya maslahi ya chama, tutasimama na wananchi:

ACT, CHADEMA na wenzenu, Msingi ni maslahi ya nchi siyo ya vyama

Tulipo tunaelekea barabarani, nyie mmechukia?

"Mko kama yule mwana mwema aliyechukia mno, kwa mwana mpotevu kurejea kwa baba yake na kufanyiwa sherehe."

Zaidi sana kukosolewa anakosolewa Mungu ije kuwa chadema au Mbowe?

Chamani tukishindwa kuelewana ustaarabu ni kwenda kwenye kura. Tushindane kwa hoja.

Tusitishane!
 
CCM wanahitaji mtu anayewapinga!? Aanzishe chama chake, labda ni pregozin wa Wagner group (mpinzani WA Putin), atavuna matunda soon

Pana watu wanadhani Sote ni wajinga kama wao.

Mwabukusi, Mdude, Slaa, LIssu na wa namna hIyo wamedhamiria kutuunganisha na kupambana.

Hawa si wasaka ruzuku au ubunge!
 
Back
Top Bottom