Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
wala sijalialia , naweka kumbukumbu vizuriMkuu acha kulialia eleza kimetokea nini!!?
umewahi kusikia mwanaccm kapewa kesi kama hiimbona unakurupuka bila kutoa maelezo ya kueleweka.
wanasiasa nao ni binadamu wa kawaida na sio ajabu kujikuta katika matatizo ya kiuhalifu aidha kwa maksudi au bila kukusudia.
wewe mleta mada umekurupuka na one sided story mpaka tumeshindwa kuelewa.
jipange urudi na maelezo ya kueleweka.
Diwani wa viti maalumu wa ccm ajulikanaye kwa jina la Mwavilenga (mwauongo) alipigwa risasi usiku na watu wasiojulikana, cha ajabu usiku huo huo police walivamia makazi ya Mwakabanje tena kwa kuruka ukuta na kumkamata.Mkuu acha kulialia eleza kimetokea nini!!?
Anatuhumiwa eti kutaka kumuuawala sijalialia , naweka kumbukumbu vizuri
Diwani wa viti maalumu wa ccm ajulikanaye kwa jina la Mwavilenga (mwauongo) alipigwa risasi usiku na watu wasiojulikana, cha ajabu usiku huo huo police walivamia makazi ya Mwakabanje tena kwa kuruka ukuta na kumkamata.
Sasa swali tunalojiuliza wananchi je police walikua wanaona kinachoendelea usiku hadi kwenda kumkamata Mwakabanje usiku huo huo?
Kwa kifupi police wameacha kufanya kazi yao kwa weledi sasa wanafanya kazi kisiasa kwa maelekezo ya wanasiasa (ccm) hii ni aibu kwa taifa.
Kila anayetumikishwa atalipwa tuDiwani wa viti maalumu wa ccm ajulikanaye kwa jina la Mwavilenga (mwauongo) alipigwa risasi usiku na watu wasiojulikana, cha ajabu usiku huo huo police walivamia makazi ya Mwakabanje tena kwa kuruka ukuta na kumkamata.
Sasa swali tunalojiuliza wananchi je police walikua wanaona kinachoendelea usiku hadi kwenda kumkamata Mwakabanje usiku huo huo?
Kwa kifupi police wameacha kufanya kazi yao kwa weledi sasa wanafanya kazi kisiasa kwa maelekezo ya wanasiasa (ccm) hii ni aibu kwa taifa.
utamdanganya nani kuhusu police wa Tanzania ?Police wako kazini inawezekana wanamtuhumu kwa njia zao za kiintelejensia sasa wewe unalalamika una shahidi gani kwamba sio yeye?
Police wako kazini inawezekana wanamtuhumu kwa njia zao za kiintelejensia sasa wewe unalalamika una shahidi gani kwamba sio yeye?
Habari mhimu kama hizi uwe unaandika kiweledi zaidi ili watu tofauti waelewe,View attachment 1273261
Polisi wa Mkoa wa Songwe wanaendelea na kibarua cha kuitumikia CCM kwa udi na uvumba, sisi kama raia mabwege tunaendelea kuweka rekodi.
Mwakabanje anatungiwa uongo wa eti kutaka kumuua diwani wa CCM
Angalizo: Hakuna marefu yasiyo na ncha
Weledi upi mkuu ?Habari mhimu kama hizi uwe unaandika kiweledi zaidi ili watu tofauti waelewe,
Jukwaa hili linapitiwa na watu wengi wa aina tofauti tofauti.
Hebu tulia acha wenge, tuambie vizuri, mazingira yenyewe yalikuaje mmh, hizi paparapupa huwa hazijengiView attachment 1273261
Polisi wa Mkoa wa Songwe wanaendelea na kibarua cha kuitumikia CCM kwa udi na uvumba, sisi kama raia mabwege tunaendelea kuweka rekodi.
Mwakabanje anatungiwa uongo wa eti kutaka kumuua diwani wa CCM
Angalizo: Hakuna marefu yasiyo na ncha
Acha ufala, sema kilichomtokea kwanz, usitulazimishe kuamini unachokisema wewe.umewahi kusikia mwanaccm kapewa kesi kama hii