Kwa faida yako na watu duni wa aina yako ni hivi , Polisi Mkoa wa Songwe wakishapokea
maagizo ya ccm huwa wanaenda kwenye nyumba ya kiongozi yeyote wa chadema na kugonga mlango , akitoka anaambiwa tumekukamata kwa uhujumu uchumi , ujambazi nk , baasi , huwa hawana sababu yoyote , na ndio walivyofanya kwa huyu .
Diwani wa Chadema wa eneo hilo aitwaye Sikagonamo alikamatwa kwa tuhuma za ujambazi baada ya polisi kumwekea bunduki mlangoni , lakini sasa anashitakiwa kwa uhujumu uchumi , kahujumu wapi na kamhujumu nani haijulikani .
IGP Sirro anaona uchafu huu lakini ananyamaza !