Boniface Mwambukusi, Rais wa Wanasheria wote Tanganyika amwambia Mbowe asipotaka kubanduka atambanduliwa

MWambukusi TLS ilisha mshinda kwa sasa yuko busy na mambo ya CDM
Hujajibu swali pangu.

Sijauliza kama kazi ya TLS imemshinda au haijamshinda.

Nimeuliza hii kauli ni msimamo wa TLS au wake binafsi?
 
Yuko NCCR mambo ta CDM hayamhusu.
 
Ashindanishwe na mgombea/wagombea wengine yeyote yule isipokuwa mbowe apumzishwe hata kwa lazima miaka 21 inamtosha hana jipya tena aache ulafi wa madaraka!.
Mbowe for life mbowe the freedom fighter
 
kwa mtazamo wake...Mbowe haondoki kama kinakufa kife , kitajengwa upya
 
Ashindanishwe na mgombea/wagombea wengine yeyote yule isipokuwa mbowe apumzishwe hata kwa lazima miaka 21 inamtosha hana jipya tena aache ulafi wa madaraka!.
Haondoki mtu, acha kife kutajengwa upya..... acha kife
 
Sipingi Lissu kupambana na Mbowe kwenye nafasi ya Uchair ila inashangaza wanaompinga wengi si wanachama wa chadema au ukiona mwanachama wa chadema ni wale ambao walionyesha kula bahasha kutoka kijani.

Kina Mbwabu na genge lote la nje linalompinga Mbowe nawashauri waache wanachadema waamue nani awe mwenyekiti....

Naona kuna kila dalili ya baadhi ya wanachadema kulamba BAHASHA ya Abdul kumpinga Mbowe na wao hawastuki kwanini Mbowe hakubaliki sana na KIJANI na wanamtaka Lissu? Washaona kwamba kwa Mbowe ni ngumu kumuhonga ila kwakuwa Lissu ana njaa ni rahisi kumuhonga kwahiyo wanapiga sana chapuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…