SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mbowe must go !!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanzia sasa nipo tayari kumbandua mboweHadi sasa ni wawili tuu ndo wametia nia ya kumbandua Mbowe.
Wewe umeshatia Nia lini?
Hiyo picha ni Lissu na Fr. Kitima. Wote wa Singida. Akipiga picha Mbowe na Wachagga mtajaza server humu mkilalamikia ukabila!Basi Lissu Kashapita ukiona tu adi hizi picha
Ashindanishwe na mgombea/wagombea wengine yeyote yule isipokuwa mbowe apumzishwe hata kwa lazima miaka 21 inamtosha hana jipya tena aache ulafi wa madaraka!.
Mkuu. Mambo ya wanafamilia yanakuhusuje wewe mpita njia.Angojee abanduliwe yeye TLS
Mbona anatumia maneno makali kama sio msomi!!!Anaandika Boniface Mwambukusi
==
KUMCHAGUA TL ni KUVAA MWILI MPYA USIO HARIBIKA.
Mzee Kingunge aliwahi kumwambia Mrema wakati wa Kipindi cha Kitimoto miaka hiyo kwamba " Usipong'atuka Utang'atuliwa" au "Usipobanduka Utabanduliwa"
Mabadiliko ya uongozi wa juu katika vyama vya kidemokrasia vya upinzani ni muhimu kwa sababu mbalimbali, ikiwemo:
1. Kuimarisha Demokrasia ya Ndani ya Vyama
Uongozi wa mzunguko unasaidia kuhakikisha kuwa vyama vinaendeshwa kwa misingi ya demokrasia. Kubadilisha viongozi huzuia udikteta wa viongozi wa muda mrefu na kuimarisha utamaduni wa uwajibikaji na usawa.
2. Kuleta Mawazo na Mikakati Mipya
Uongozi mpya huleta mawazo mapya, mitazamo mipya ya kisiasa, na mikakati bora ya kushindana na vyama tawala. Hii huimarisha nafasi ya vyama vya upinzani kufanikisha malengo yao ya kisiasa.
3. Kujenga Imani kwa Wanachama na Jamii
Wanachama wa vyama na umma kwa ujumla wanahitaji kuona vyama vya upinzani vikiendeshwa kwa uwazi. Mabadiliko ya uongozi huonyesha kuwa chama kinasikiliza wanachama wake na kipo tayari kubadilika kwa maslahi ya wengi.
4. Kupunguza Migogoro ya Ndani
Mara nyingi, uongozi wa muda mrefu unaweza kusababisha migogoro ya ndani ya vyama, hasa pale ambapo wanachama wanahisi kuwa hawapewi nafasi ya kushiriki katika uongozi. Mabadiliko ya uongozi huleta upatanisho na mshikamano wa chama.
5. Kuchochea Hamasa kwa Wanachama Wapya
Uongozi mpya unaweza kuwa kichocheo kwa wanachama wapya kujiunga na chama na wale wa zamani kuongeza nguvu ya kushiriki kikamilifu. Pia huimarisha ushawishi wa chama kwa vijana na makundi mengine katika jamii.
6. Kuboresha Taswira ya Chama
Vyama vya upinzani vinapofanya mabadiliko ya uongozi wa juu kwa njia ya kidemokrasia, vinaonekana kama mfano bora wa uongozi wa uwazi na wa kisasa. Hii husaidia kuvutia wapiga kura na kuimarisha nafasi yao kisiasa.
7. Kuweka Msingi wa Uongozi Endelevu
Mabadiliko hutoa fursa ya kuandaa viongozi wapya watakaorithi nafasi za uongozi wa juu. Hii ni muhimu kwa ustawi wa muda mrefu wa vyama vya upinzani, hasa katika mazingira yanayobadilika kisiasa.
Kwa ujumla, mabadiliko ya uongozi katika vyama vya kidemokrasia vya upinzani yanasaidia kujenga vyama vyenye nguvu, vinavyoshindana kwa ufanisi, na kushawishi mabadiliko ya kweli katika mifumo ya utawala.
View attachment 3189590
BAK Mwabukusi
Shambani Busokelo.
Kwani wao Wana wasiwasi gani? Kubanduliwa si ndio Demokrasia? Mbona mdomo umezidi?Anaandika Boniface Mwambukusi

Ata ww chawa wa Lisu,, mbowe afai kukusikiliza Lisu linatamaa sana ya vitu vizuli na pesa ana domo kubwa na mwiziii sana. Naweka hoja jibu kwann awachangishe wananchi pesa ya gari lake tena gari ni Shangingi ivi Lisu anajua Watanzania atuna uwezo ata wakumiliki paso kwanini yeye bila aibu anataka wananchi tumchangie atembee na Shangingi uyu mtu kweli ni mzelendo au anatafuta fursa ili atupige mipesa. Anaona kule kwa mbowe kabana na yeye Domo kubwa akaona aje na kuchangisha pesa ya gari lkn jamaaa anaonekana ana njaaa sana ya pesa., mbowe mwenyewe kamchoka kumpa pesa.!!! Ipo siku mbowe akiamua kufunguka ndio mtajua LiSU tapeli afai.Mbowe ameharibu taswira na haiba yake kwa kuwasikiliza Machawa, wakati machawa huwa yanatakiwa kupuuzwa.
LISU MSHAMBA poli wapi atamuweza mtoto wa mjin mbowe. Ajiandae na pakwenda akikimbilia mahakamani atakutana na Kibatala jeuri Lisu ana bado kitoto sana ndio mana iyo Nafasi kashika aliwekwa na mbowe sio kura za wajumbe muwe wapole ndugu na mapema mjiandae na misukosuko ya mahakamani ndio kimbilio la LISU lkn nako pia atasaza na kutafuta chama chengine dkk za jiooooniii kashachelewaa Uku no1 Mbowe pale 2 Mnyika kati 3 Wenje 4 Sugu 4 mdee 5 Benson kogaila 6 NTOBI 7 Lema 8 jonn mrema 9 matiko 10 Buraya 11 Kibatala lisu atapewa nafasi kwawazungu!!Mbowe must go !!!
Kazi bado mbichiAnaandika Boniface Mwambukusi
==
KUMCHAGUA TL ni KUVAA MWILI MPYA USIO HARIBIKA.
Mzee Kingunge aliwahi kumwambia Mrema wakati wa Kipindi cha Kitimoto miaka hiyo kwamba " Usipong'atuka Utang'atuliwa" au "Usipobanduka Utabanduliwa"
Mabadiliko ya uongozi wa juu katika vyama vya kidemokrasia vya upinzani ni muhimu kwa sababu mbalimbali, ikiwemo:
1. Kuimarisha Demokrasia ya Ndani ya Vyama
Uongozi wa mzunguko unasaidia kuhakikisha kuwa vyama vinaendeshwa kwa misingi ya demokrasia. Kubadilisha viongozi huzuia udikteta wa viongozi wa muda mrefu na kuimarisha utamaduni wa uwajibikaji na usawa.
2. Kuleta Mawazo na Mikakati Mipya
Uongozi mpya huleta mawazo mapya, mitazamo mipya ya kisiasa, na mikakati bora ya kushindana na vyama tawala. Hii huimarisha nafasi ya vyama vya upinzani kufanikisha malengo yao ya kisiasa.
3. Kujenga Imani kwa Wanachama na Jamii
Wanachama wa vyama na umma kwa ujumla wanahitaji kuona vyama vya upinzani vikiendeshwa kwa uwazi. Mabadiliko ya uongozi huonyesha kuwa chama kinasikiliza wanachama wake na kipo tayari kubadilika kwa maslahi ya wengi.
4. Kupunguza Migogoro ya Ndani
Mara nyingi, uongozi wa muda mrefu unaweza kusababisha migogoro ya ndani ya vyama, hasa pale ambapo wanachama wanahisi kuwa hawapewi nafasi ya kushiriki katika uongozi. Mabadiliko ya uongozi huleta upatanisho na mshikamano wa chama.
5. Kuchochea Hamasa kwa Wanachama Wapya
Uongozi mpya unaweza kuwa kichocheo kwa wanachama wapya kujiunga na chama na wale wa zamani kuongeza nguvu ya kushiriki kikamilifu. Pia huimarisha ushawishi wa chama kwa vijana na makundi mengine katika jamii.
6. Kuboresha Taswira ya Chama
Vyama vya upinzani vinapofanya mabadiliko ya uongozi wa juu kwa njia ya kidemokrasia, vinaonekana kama mfano bora wa uongozi wa uwazi na wa kisasa. Hii husaidia kuvutia wapiga kura na kuimarisha nafasi yao kisiasa.
7. Kuweka Msingi wa Uongozi Endelevu
Mabadiliko hutoa fursa ya kuandaa viongozi wapya watakaorithi nafasi za uongozi wa juu. Hii ni muhimu kwa ustawi wa muda mrefu wa vyama vya upinzani, hasa katika mazingira yanayobadilika kisiasa.
Kwa ujumla, mabadiliko ya uongozi katika vyama vya kidemokrasia vya upinzani yanasaidia kujenga vyama vyenye nguvu, vinavyoshindana kwa ufanisi, na kushawishi mabadiliko ya kweli katika mifumo ya utawala.
View attachment 3189590
BAK Mwabukusi
Shambani Busokelo.
Mwambukusi namkubali sana huyu WakiliAnaandika Boniface Mwambukusi

Fr kitimaAnaandika Boniface Mwambukusi

Wanataka kumbandua Mbowe? Oya kubanduliwa tena?Alaaaaa
Kakufanyaje?Fr kitima