Boniface Mwambukusi, Rais wa Wanasheria wote Tanganyika amwambia Mbowe asipotaka kubanduka atambanduliwa

Ashindanishwe na mgombea/wagombea wengine yeyote yule isipokuwa mbowe apumzishwe hata kwa lazima miaka 21 inamtosha hana jipya tena aache ulafi wa madaraka!.

Kwanini wengine na siyo Mbowe ? Lissu na Viberenge vyake lazima mtambue kuwa maamuzi yatafanywa na wajumbe na kura zitatoa majibu.

Suala la ushindi wa kuachiwa chama asahau.
 
Mbona anatumia maneno makali kama sio msomi!!!
 
Kwani wao Wana wasiwasi gani? Kubanduliwa si ndio Demokrasia? Mbona mdomo umezidi?
 
Mbowe ameharibu taswira na haiba yake kwa kuwasikiliza Machawa, wakati machawa huwa yanatakiwa kupuuzwa.
Ata ww chawa wa Lisu,, mbowe afai kukusikiliza Lisu linatamaa sana ya vitu vizuli na pesa ana domo kubwa na mwiziii sana. Naweka hoja jibu kwann awachangishe wananchi pesa ya gari lake tena gari ni Shangingi ivi Lisu anajua Watanzania atuna uwezo ata wakumiliki paso kwanini yeye bila aibu anataka wananchi tumchangie atembee na Shangingi uyu mtu kweli ni mzelendo au anatafuta fursa ili atupige mipesa. Anaona kule kwa mbowe kabana na yeye Domo kubwa akaona aje na kuchangisha pesa ya gari lkn jamaaa anaonekana ana njaaa sana ya pesa., mbowe mwenyewe kamchoka kumpa pesa.!!! Ipo siku mbowe akiamua kufunguka ndio mtajua LiSU tapeli afai.
 
Mbowe must go !!!
LISU MSHAMBA poli wapi atamuweza mtoto wa mjin mbowe. Ajiandae na pakwenda akikimbilia mahakamani atakutana na Kibatala jeuri Lisu ana bado kitoto sana ndio mana iyo Nafasi kashika aliwekwa na mbowe sio kura za wajumbe muwe wapole ndugu na mapema mjiandae na misukosuko ya mahakamani ndio kimbilio la LISU lkn nako pia atasaza na kutafuta chama chengine dkk za jiooooniii kashachelewaa Uku no1 Mbowe pale 2 Mnyika kati 3 Wenje 4 Sugu 4 mdee 5 Benson kogaila 6 NTOBI 7 Lema 8 jonn mrema 9 matiko 10 Buraya 11 Kibatala lisu atapewa nafasi kwawazungu!!
 
Kazi bado mbichi
 
Mwambukusi namkubali sana huyu Wakili
 
Fr kitima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…