Boniface Mwamposa rekebisha tangazo lako la kugawa mafuta bure, mafuta tunanunua

Kila siku tangazo Hilo lipo na siyo la jus Wala nn ni la muda San na mm nimeenda had kukanyaga mafuta na sikupewe nilijinunulia mafuta yangu Kisha nikakanyaga nikarud na yaliobaki

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Acahna na mabeberu Babu hao wako frasturated mno so we usjili mm sawa sijakata tamaa na maisha yanaenda nafurahia tu kwa kuwa watu wanamrudia mungu waislamunl na wakristo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mwingine huyu hapa anagawa pesa kwa watoto.
Hakuna pesa ya bure hapo,kila jambo lipo calculated in spiritual meaning.Mungu awafumbue macho vipofu
Huyu mm siwez Seema lolote mnk sijawi kwenda kanisan kwake ingawa napafahamu had kwake had mji wa daudi tuna shmba pale so siwez msemea

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sawa Babu lkn siyo sawa Babu mtu mzima Kama wewe utoe maneno hayo adharani au ujalipwa pesion zako nnn au na una frasturation zako nn babu zinakusumbua Kia's utukane Kia's hiki

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kijana tafuta pesa usitafute maneno.
Ukiendelea hivyo utaishia kumiliki Infinix maisha yako.
Mm nakula pensheni yangu baada ya kulitumikia taifa kwa umahiri mkubwa sina presha nawazoom tu wajukuu.
 
Kijana tafuta pesa usitafute maneno.
Ukiendelea hivyo utaishia kumiliki Infinix maisha yako.
Mm nakula pensheni yangu baada ya kulitumikia taifa kwa umahiri mkubwa sina presha nawazoom tu wajukuu.
Sawa Babu nitakutokea usku wa leo nikupake mafuta

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Na hayo mafuta anayatoa wapi? Ni mafuta yaliyotengenezwa kutoka kitu gani!
 
Watanzania mnadanganywa sana na miujiza, hawa watu wanapata utajiri kupitia nyinyi kwa kufanya mauzo ya vitu tena hata hawavilipii kodi (sadaka zenu, mafuta, maji, vitambaa) - akili zimechotwa! imani yako ni kubwa sana pale pale ulipo sio kwa akina mwamposa. huu ujumbe uwafikie wanawake na mabinti maana ndo wachotwa akili wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…