CCM MKAMBARANI
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 2,031
- 1,514
- Thread starter
-
- #21
Hakuna anayelazimisha mpate mwenyekiti mpya,hayo ni yenu mtajijua wenyewe lakini tunapopata taarifa tunashea mtandaoniAtapatikana mwenyekiti stahiki wakati ukifika na yeyote yule anaweza kuchaguliwa.
Kwa sasa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ndio kipau mbele cha CDM sio uenyekiti.
Kabisa,ila tumpongeze mbowe akae tu siku akitoka wakose muelekeoCDM sio ACT wala CCM. Mwenyekiti ni nafasi ya familia.
Ujasiriamali ni kivuli cha kujificha,fuatilia vizuri kuhusu pesa za join the chain utajua,makamanda tunawaamini sana kwa ufuatiliaji.."Ukweli unaoenda kutimia ni kuwa bilionea muuza mayai ndiye mrithi aliyependekezwa na bwana Mbowe kurithi nafasi yake, jumba la Boniyai limefadhiliwa na Mbowe ili ionekane boniyai anazo pesa na sababu Chadema bila hela ni rahisi kununuliwa na serikali.
Mbowe hampendi kabisa Lissu ambaye ni mwanaharakati na debe tupu anayekigharimu chama sababu lisu hana pesa kabisa tofauti na boniyai anaye jituma kuuza mayai, hivyo siku chache zijazo Mbowe ataachia kiti."
Sasaππ iwapo Boni anajituma, na ni mjasiriamali anayeaminika na Mbowe, iweje tena huyo Boni akajengewa na Mbowe?
Embu nyoosha maelezo!
Mnaonaje mkaanza na katiba yenu, katiba yenu inasemaje khs uongozi wa mwenyekiti.?Atapatikana mwenyekiti stahiki wakati ukifika na yeyote yule anaweza kuchaguliwa.
Kwa sasa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ndio kipau mbele cha CDM sio uenyekiti.
Picha ya huyo savimbi iko wapi wengine hatumjui.Boni yai a.k.a savimbi
Acha uchochezi kwenye ndoa za watu, Joyce yuko humu.Kwani mke wa mbowe miss Erythrocyte anasemaje.?
Lissu ni boya. Anabwabwaja wakati wenzake wanajitafunia michangoMzee nakwambia hivi pesa za join the chain zimeliwa balaa,boni yai kashirikiana na Mnyika kuzipiga na mtu anayezungukwa ni Lissu
Kwanini usiende mahakamani kushitaki kama zimeliwa?Mzee nakwambia hivi pesa za join the chain zimeliwa balaa,boni yai kashirikiana na Mnyika kuzipiga na mtu anayezungukwa ni Lissu
Kwenda mahakamani kunahitaji pesa,mimi muuza machungwa mtaani sina huo muda nikipata nitaenda bwana mzee usiwaze.Kwanini usiende mahakamani kushitaki kama zimeliwa?
Unaukaribia ukweliMwanzoni nilidhani mwenyekiti atakuja kuwa Zito Kabwe sijui alizingua nini wakamfukuza. Baadae nilidhani kati ya Sugu na Lema mmojawapo angeweza kufaa kuja kuwa Mwenyekiti baadae lakini awamu iliyopita ya mkono wa chuma ilithibitisha kuwa hao jamaa sio wagumu kihivyo kama wanavyojionyesha. Kama kuna mtu pekee wa kumrithi Mbowe pale CHADEMA basi ni John Heche peke yake. Hiyo CHADEMA akipewa mtu mwingine tofauti na John Heche basi biashara ndio itakuwa imeishia hapo.
Ni mtizamo tu.
Hamjui bilionea Sugu huyo. CHADEMA ni nyumbani kwa mabilionea.Kwa sababu ya kagorofa πππ₯
Chadema mabilionea kibao aisee hivi godlisten malisa na yeriko nyerere si mabilionea wale?Hamjui bilionea Sugu huyo. CHADEMA ni nyumbani kwa mabilionea.
Hao wana zaidi ya bil kama 17 each.Chadema mabilionea kibao aisee hivi godlisten malisa na yeriko nyerere si mabilionea wale?
Aloo si mchezo,Mdude atakuwa ndio faza wao kwa mkwanja mrefu hongera zao makamanda.Hao wana zaidi ya bil kama 17 each.
Yericko Nyerere hadi States wanamtambua kwa ubilionea wake unaotokana na kuandika vitabu vya kijasusi vilivyokubalika hadi Library ya Congress, isitoshe anafanya organic farming hapo Mbutu na kuexport fresh vegetable kwenda mambele huko.
Malisa ni Advocate Msomi anayejiingizia kipato kilichompa ubilionea kwa kazi zake. Pia anaingisha madolari kibao kwa contents zake huko mtandaoni
Kwa kifupi vijana wa CHADEMA ni mabilionea na kazi zao ni halali zinazojulikana. Ila wale wa chawa wa kijani wao ni uchawa tu kuanzia Jan to Dec 24/7 hamna kitu kabisa zaidi ya kutukana watu wazima na kulewa hovyo
Karibu Chugaland
PoweeeeeeeeeeerMakamanda peeeeoples........
Umeandika vizuri lakini ulipoanzia Para ya 4 ndio uneharibu ladha moja kwa moja.Sasa ni ukweli usiofichika kuwa mabilionea ndio wenye haki CHADEMA. Twende pamoja.
Hivi karibuni kumekuwepo hisia nyingi kuhusu uwenyekiti wa jabali la siasa Mzee Mbowe [Dj mstaafu na mlinzi benki kuu]
Ukweli unaoenda kutimia ni kuwa bilionea muuza mayai ndiye mrithi aliyependekezwa na bwana Mbowe kurithi nafasi yake, jumba la Boniyai limefadhiliwa na Mbowe ili ionekane boniyai anazo pesa na sababu Chadema bila hela ni rahisi kununuliwa na serikali.
Mbowe hampendi kabisa Lissu ambaye ni mwanaharakati na debe tupu anayekigharimu chama sababu lisu hana pesa kabisa tofauti na boniyai anaye jituma kuuza mayai,hivyo siku chache zijazo Mbowe ataachia kiti.
Masikini lissu labda awahi kuinunua TLP ili aungane na Lema waliamshe dude,ila Boniyai ni chaguo la Mbowe sababu ana akili za ujasiriamali kuliko lissu,na lissu ameshalijua hilo hivyo 2025 atagombea ubunge apate pesa za kustaafia siasa.
Kazi kwenu chadema.