Boniphace Jacob (Boni Yai): Mwenyekiti ajaye CHADEMA?

Umeandika vizuri lakini ulipoanzia Para ya 4 ndio uneharibu ladha moja kwa moja.
Unawezaje Sema Rais mtarajiwa hapendwi!! Hovyo.
We jamaa unataka kusema ukiwa rais kila mtu atakupenda? Hebu fikiria tena mzee,sidhani kama ni sahihi kwa magnificent yangu
 
Siku ya DJ kuachia ngazi uenyekiti ni pale tu akimtema mchepuko Joyce aliepigana nae na kuanguka kwa ulevi kule Dom na kusingizia majambawazi! Mi sioni hiyo siku kwa siku za hivi karibuni! Kina mnyapaa watafute chimbo jingine! Hata Zana za Kilimo itakuwa kuna mahali kadaka sio kirahisi hivyo kuachia kiti kina yakhe wala mapembe!
Ni aibu sana kwa chama kikubwa kuwa na kiongozi kilaza form four failure, garbage in garbage out! Akili ya Club ni ulevi tu!
 
Itabidi kiti kiwe kikubwa, maana amefura
 
Hivi karibuni kumekuwepo hisia nyingi kuhusu uwenyekiti wa jabali la siasa Mzee Mbowe [Dj mstaafu na mlinzi benki kuu]
Ulichoandika ni bora ungekaa kimya kuficha upumbavu wako!
Kama ni mlinzi wa bank au DJlakini ameweza kukipaisha chama kwa kasi ya jabu huoni ni mtu wa kipekee?
Huko ccm mmeshindwa kukipaisha chama mmebaki kuwa wezi wa kura, gilba, uongo na ufisadi kila kukicha!
Shame!
 
Rubbish
 
Wewe ndie mpumbavu,unaeamini bila mbowe na genge Lake hakuna chama.
 
Mwambie mumeo akufundishe maana ya 800B kwanza ndiyo uje hapa? huna akili CHADEMA wanapokea 130M na CCM wanaum

Mwambie mumeo akufundishe maana ya 800B kwanza ndiyo uje hapa? huna akili CHADEMA wanapokea 130M na CCM 3
Akili yako inawaza uolewe tu,nyumbu wewe,fanya kazi na uhoji kuhusu pesa za join the chain,shauri yako njaa ikizidi utamzalia Mbowe
 
Wanasema Bila mbowe hamna chama,dawa ni kutowashauri kuhusu succession plan ili asipokuwepo nyumbu waangamie wote
 
Akili yako inawaza uolewe tu,nyumbu wewe,fanya kazi na uhoji kuhusu pesa za join the chain,shauri yako njaa ikizidi utamzalia Mbowe
Ndiyo maana sihoji mambo ambayo hayana faida kwangu, nyie akina mama wajane kaeni nyumbani achaneni na siasa.
 
Toka umekuwa mjane akili zimekuisha haswa hujui hata maana ya 800B, mjinga sn
Mwandiko wako kama yale matoto majinga yaliyochelewa kuongea,kusoma na kuandika,tulia ueleweshwe mbowe na wenzie wachache wanavyowaibia nyumbu wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…