Bonite mmeharibu maji yenu

Bonite mmeharibu maji yenu

Mfamaji

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2007
Posts
6,630
Reaction score
1,945
Habari wana jamvi. Wengine watanishangaa lakini acha niwaambie Bonite Bottlers kuwa kitendo chao cha kupaki maji yao kwenye makaratsi ya nailoni kimedhoofisha kabisa soko la maji hayo.

Sasa yanaonekana kama yale mengine ya kawaida. Aliyewashauri amewadanaganya sana. Kama mlikuwa hamtambui ubora wa product yenu ilikuwa inachangiwa na packaging tambueni sasa.
Mm ni mpenzi wa hayo maji, nilivyoona yamepakiwa hovyo namna ile nikapata kichefuchefu.Tz bana.
 
C wana marketing manager?mtafte umwambie sasa
 
Sina access nae ningempigia. Hata wengine wanaweza kuwa products za kata eti. Kama umejifunza soko lako huwezi fanya hivyo hata iweje.
 
Habari wana jamvi. Wengine watanishangaa lakini acha niwaambie Bonite Bottlers kuwa kitendo chao cha kupaki maji yao kwenye makaratsi ya nailoni kimedhoofisha kabisa soko la maji hayo.

Sasa yanaonekana kama yale mengine ya kawaida. Aliyewashauri amewadanaganya sana. Kama mlikuwa hamtambui ubora wa product yenu ilikuwa inachangiwa na packaging tambueni sasa.
Mm ni mpenzi wa hayo maji, nilivyoona yamepakiwa hovyo namna ile nikapata kichefuchefu.Tz bana.
wameharibu sana aisee.. Kilimanjaro ina hadhi yake bana sijui nani aliwadanganya
 
Ni kweli,leo nimeenda kununua katoni kadhaa za 500ml.wakati wananitolea nikasema "wewe mushi mbona unanipa uhai wakati nimelipia kilimanjaro?".kumbe yalikuwa ni kilimanjaro.
 
Back
Top Bottom